Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

Mwanasehria Mkuu wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Tundu Lissu, alisema mkuu wa wilaya
ana mamlaka ya kuamuru mtu
aliyefanyakosa mahali ambako hakuna
polisi akamatwe.

Swali: Kama hakuna polisi anaamrisha akamatwe na nani? Raia au mgambo? Hizi sheria na wana sheria KIZUNGUZUNGU TUPU
Lissu anapotosha tuu...
 
Tusilaumu alichokileta yawezekana ndo alichokipata mwenye maoni ya upande wa pili atujuze pia au kama kuna mtu aliyekuwepo atuambie kilichotokea tusiwe wepesi wa kijudge tu
 
Hivi kama wananchi wamekuita uje uwasaidie kuongea na mwajiri wso ili wapate ufumbuzi wa mishahara yao.Dc anakuja mbio mbunge anamkaribisha kumweliza kilichotokea.Dc anamaliza kuongea bila kumpa mbunge nafasi nae amalizie kwa kufunga .wewe Dc tukuiteje kama si kibaka uliekuja ukakuta mazungumzo unafunga mkutano bila utaratibu?
Mbunge hatatui kero za wafanyakazi. Atasikiliza kero hizo na kuziwakilisha kwa serikali. Sasa tayari serikali iko pale, mbunge wa nini? Labda kama ana maoni ingawa sio lazima ayatoe hapo.
 
Back
Top Bottom