Maoni ya kiuboreshaji: Kero za Tanzania

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Wanajamii, ukiwa ni mtandao ambao lengo lake ni kukusanya kero na kuziweka wazi na pia kuzifikisha kwa wahusika, kuna mtandao wa serikali unaoitwa Wananchi , ingawa sidhani kama watu wanaufahamu au maoni yanawafikia wahusika. So nikaona, tuisaidie serikali kivitendo kwa uwezo mdogo tulionao (Mbuyu ulianza kama uyoga) kwa kuunganisha sehemu zote, yaani kuunganisha maoni ya serikali, watu binafsi na hata yetu sisi wenyewe kama wanajamii. Pia kwa urahisi zaidi.

Kwa saa kuna njia tatu za kupokea maoni, kwa kutumia online form , kutuma kwenye email ( info@kerotz.com ) na ya tatu ni kutuma kwenye kurasa yetu ya facebook

Tutatoa orodha ya sehemu ambazo wanapokea kero toka Kerotz.com siku zijazo. Kujua kerotz.com ni nini nenda Hapa

Ikiwa ni tovuti inayomlenga wanajamii moja kwa moja na kutokana na sababu mbili tatu, hatukuweza kupitia hatua za majaribio, hivyo nikiwa kama mwanzilishi wa wavuti hii, ningependa kupata michango ya KUJENGA (mizuri na mibaya) juu ya jinsi gani tunaweza kuiboresha na kuifanya hii idea iwe real. Ndio maana nimeituma hapa, NO politics pls.

Michango hii iangalie, Usability (Muonekano, upatikanaji, utumikaji nk) na features (nini kiongezwe na nini kiondolewe).

Kwa sasa tuna version za simu Kero Za Tanzania - Mtandao wa kuwasilisha kero za Tanzania , za Android na Apple IOS Apps zitakuwa hewani kuanzia November 1.

Future Project: Juzi niliongea na mtu ambaye si Mtanzania, akasema inakuwaje kwa vitu / watu waliofanya vyema wanahitaji pongezi? So, kama kuna mtu anaona hii idea ni feasible kwa sasa kwa Tanzania, anaweza kuifanyia kazi na tukalink hizi wavuti mbili, pia nipo tayari kumpa support kiufundi na kimawazo kadri niwezavyo.

Nyoni M
Web: www.kerotz.com
Email: info@kerotz.com

kero.jpg

View attachment 110775

Idea nzuri sana mkuu kilicho baki ni kuwajibika tu,
 
Back
Top Bottom