Maoni ya Katiba: Wazanzibari, Urais uwe kwa Zamu

Kwanza mtambue serikali ya zanzibar ni ya wazanzibari tu, na serikali ya tanzania si yenu peke yenu. Kama mnataka ya kwenu undeni ya tanganyika
 
wakitoa maoni yao mbele ya tume ya katiba jana mkoa wa kusini Unguja, watu wengi waliotoa maoni yao wametaka kuwe na zamu katika kupokezana uraisi wa muungano na wametaka muungano uwe wa milele ila uboreshwe. chanzo gazeti la Zanzibar leo.

sasa hiii mineno sijui ya aamsho aamsho yatoka wapi eti eenh! wallah ataka jua mimi.
 
yaani baada ya kuwasomesha kwa fedha zetu za kodi mkaona haman ajira meona siasa ndio mahali pa kujifichia, kwa kudhani kua mtapata madaraka baada ya muungano kuvunjika..tamaa mbaya ...mnaingiza tamaa zenu katika maswala nyeti ya uhai na maendeleo ya wengine..kwa ajili ya tamaa zenu zilizo ndani ya miaka yenu 70 tu ya kuishi?? kwanini msifanye mambo ya maana zaidi ya kuwasaidia hao ndugu zenu wazanzibari wasio na elimu kujikwamua badala ya kuwa na ndoto za uongozi?? kumbukeni kua uongozi ni wa muda tu na si milele..mtakufa na mtawaacha wajukuu zenu katika majuto..acheni tamaa ya madaraka na pesa chafu toka uarabuni..ku...mbaaaa.....fu
 
Ndugu yangu stroke nadhani hujielewi na labda niseme umeishia darasa la saba na ndo maana ukawa na fikkra za kimwehu zilizopitwa na wakati. Sisi wazanzibari tumesoma kabla yenu na tumestaarabika mapema tu. Na usijisumbue, tambua wazanzibari watauvunja tu muungano
 
Wanaota ndoto za Mchana.... Rais hachaguliwi kwa kuangalia anatoka wapi?

Raisi anachaguliwa kutokana na HOJA zake. Na ndo Mana tunavyama VINGI.

Zanzibar Mnaweza kusema Hivyo ila Kura zikapigwa akashindwa
 
Kumekuwa na malalamiko sasa yapata miaka mingi juu ya namna gani ya aina ya marais tunaowataka Tanzania.ni vema sasa kwasababu tupo katika kutengeneza KATIBA.

Tunawaomba wajumbe kwa hili waliweke wazi kuwa kwa vyovyote iwavyo Urais wa Tanganyika uwe wa Zamu yaani Rais Muslamu akitoka afuatae aje Mkristo.

Hatutaki ubabaishaji katika mambo ya msingi kwani tunaipenda nchi yetu tunataka tuwe na amani ya kudumu najua kuna wanafiki watakuja na kubeza lakini hapo hapo utawaona ndani ua mioyo yao hawataki wala kusikia , Kuombea wala kushabikia Rais ajae awe MUISLAM.

na akisema basi anasema kinafiki ili aweze kupata fedha za kujikimu kwa siku yake ni asilimia kubwa sasa hata kwa WAISLAM wenyewe kuwa Rais anaefuata atakuwa mkristo dhehebu gani hilo nawaachia wao.

CCM kwa kutambua mchango wa Dini zoote ulijiwekea utaratibu ambao siyo Rasmi kwa kubasilisha viongozi kwa misingi ya dini bila utaratibu maalum lakini lengo lao ni kutimiza mahitaji na matamanio yake kwa Wananchi lakini sasa pamoja na hayo na kuonekana kama Chama ambacho sasa kimekosa mvuto katika Jamaii kwa sababu ya kushindwa kuwasimami ipasavyo watendaji wabovu kabisa kuwahi kutokea katika serikali hii chama hicho kipo hatiani kuangushwa katika chaguzi zijazo siku si nyingi na kuwa chama cha Upinzani.

Ni wakati sasa wa sisi watanganyika tunaoitakia mema Tanganyika yetu kwa miaka mingi ijayo tukaweka wazi mambo hayo ili huko siku za Usoni yasije kutokea yanayotokea Nigeria Afrika ya Kati au Ivory Coast.

Kwani jukumu la Amani Upendo na Mshikamano ni sie Watanganyika au Watanzania.karibuni kwa mjadala wa kujenga na sio wa kubomoa.
 
Kumekuwa na malalamiko sasa yapata miaka mingi juu ya namna gani ya aina ya marais tunaowataka Tanzania.ni vema sasa kwasababu tupo katika kutengeneza KATIBA.

Tunawaomba wajumbe kwa hili waliweke wazi kuwa kwa vyovyote iwavyo Urais wa Tanganyika uwe wa Zamu yaani Rais Muislamu akitoka afuatae aje Mkristo.

Hatutaki ubabaishaji katika mambo ya msingi kwani tunaipenda nchi yetu tunataka tuwe na amani ya kudumu najua kuna wanafiki watakuja na kubeza lakini hapo hapo utawaona ndani ya mioyo yao hawataki wala kusikia , Kuombea wala kushabikia Rais ajae awe MUISLAM.

na akisema basi anasema kinafiki ili aweze kupata fedha za kujikimu kwa siku yake ni asilimia kubwa sasa hata kwa WAISLAM wenyewe kuwa Rais anaefuata atakuwa Mkristo dhehebu gani hilo nawaachia wao.

CCM kwa kutambua mchango wa Dini zoote ulijiwekea utaratibu ambao siyo Rasmi kwa kubadilisha viongozi kwa misingi ya dini bila utaratibu maalum lakini lengo lao ni kutimiza mahitaji na matamanio yake kama Chama kwa Wananchi lakini sasa pamoja na hayo na kuonekana kama Chama ambacho sasa kimekosa mvuto katika Jamaii kwa sababu ya kushindwa kuwasimamia ipasavyo watendaji wabovu kabisa kuwahi kutokea katika serikali hii chama hicho kipo hatiani kuangushwa katika chaguzi zijazo siku si nyingi na kuwa chama cha Upinzani.

Ni wakati sasa wa sisi watanganyika tunaoitakia mema Tanganyika yetu kwa miaka mingi ijayo tukaweka wazi mambo hayo ili huko siku za Usoni yasije kutokea yanayotokea Nigeria,Afrika ya Kati au Ivory Coast.

Kwani jukumu la Amani Upendo na Mshikamano ni la sie Watanganyika au Watanzania.karibuni kwa mjadala wa kujenga na sio wa kubomoa.
 
Haiwezekani kabisa! Kwani wao tayari wanachagua rais wao! Sisi Tanganyika raisi wetu ndo huyo huyo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Back
Top Bottom