Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,525
- 1,704
Tumuulize D. Bashite kama ameishapewa taarifa zozote na wahusika kuhusu kukatika kwa umeme Dar
Kijana , wewe au familia yako mmewahi kumiliki kiwanda , hata kama ni cha kusindika ubuyu ?Kwenu tu ndiyo kuna mgao ila kwetu ni mwendo mdundo ukikatika ni service tu
Niko ubungo Maziwa, umeme umekatika leo kama dakika 31 hivi, nafikiri kuna sehemu wanarekebisha maana hata maeneo ya hostel mabibo ulikatika kwa muda sawa. Ila tatizo nimeliona leo kwa week nzima.KW
Kwanini uniambie nasema uongo? ulitaka nikubaliane na kitu ambacho kwangu mimi naona si kweli, unaishi tabata wewe, au maeneo ya ubungo? kama unaishi maeneo hayo nihakikishie kama kweli kuna shida ya umeme
Watakataje umeme ubungo wakati ndipo ofisi zao zilipo he heHiyo ni dar ipi yenye shida ya umeme? me nakaa tabata umeme upo kila siku, nafanyia kazi maeneo ya ubungo umeme upo kila siku
Sasa ni dhahiri kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme Dar es Salaam, maana haiwezekani umeme ukatike kila siku na kwa masaa mengi kiasi cha kuharibu mipango ya uzalishaji viwandani.
Sasa ni vema TANESCO watoe taarifa kamili ili sisi wenye viwanda tuweke mpango kamili wa uzalishaji, tunafahamu kwamba serikali ya Tanzania haina kiwanda chochote na wala haina mpango huo.
Hivyo wanaweza kukata umeme wapendavyo na wasipate hasara yoyote, lakini bado hawana mamlaka ya kukomesha wenye viwanda, tunalipa kodi kutokana na uzalishaji viwandani mwetu, hivyo tunastahili kutendewa haki.
Heshima kitu cha bure.
Nakulilia Tanzania .Mkuu matatizo yote ya TANESCO chanzo chake ni mikataba ya kifisadi iliyosainiwa kuanzia awamu ya pili na ya tatu IPTL, RICHMOND, SYMBION, ESCROW ETC. TANESCO wanaidai Serikali zaidi ya 120 billioni na kumbuka pia juzi juzi walioomba wapandishe bei ya umeme kwa kufuata taratibu zote lakini walikataliwa na matokeo yake DG wa TANESCO allifukuzwa kazi na baadhi ya mameneja kushushwa vyeo.
Matatizo yote ya Tanesco muhusika Mkuu ni Serikali lakini wamejikausha kama hawahusiki huku Tanesco ikiendelea kuwa na matatizo makubwa sana ya kifedha na madeni chungu nzima ya mikataba ya kifisadi.
Ukiona malori ya mafuta machafu yanakimbizana kuelekea salasala ujue kuna ka mgao ka aina,tunaishi Kwa majenereta Yale ya IPTLSasa ni dhahiri kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme Dar es Salaam, maana haiwezekani umeme ukatike kila siku na kwa masaa mengi kiasi cha kuharibu mipango ya uzalishaji viwandani.
Sasa ni vema TANESCO watoe taarifa kamili ili sisi wenye viwanda tuweke mpango kamili wa uzalishaji, tunafahamu kwamba serikali ya Tanzania haina kiwanda chochote na wala haina mpango huo.
Hivyo wanaweza kukata umeme wapendavyo na wasipate hasara yoyote, lakini bado hawana mamlaka ya kukomesha wenye viwanda, tunalipa kodi kutokana na uzalishaji viwandani mwetu, hivyo tunastahili kutendewa haki.
Heshima kitu cha bure.
Huku kijijini kwangu kukatwa katwa umeme ni jadi na desturi...... hawana muda wala saaMkuu matatizo yote ya TANESCO chanzo chake ni mikataba ya kifisadi iliyosainiwa kuanzia awamu ya pili na ya tatu IPTL, RICHMOND, SYMBION, ESCROW ETC. TANESCO wanaidai Serikali zaidi ya 120 billioni na kumbuka pia juzi juzi walioomba wapandishe bei ya umeme kwa kufuata taratibu zote lakini walikataliwa na matokeo yake DG wa TANESCO allifukuzwa kazi na baadhi ya mameneja kushushwa vyeo.
Matatizo yote ya Tanesco muhusika Mkuu ni Serikali lakini wamejikausha kama hawahusiki huku Tanesco ikiendelea kuwa na matatizo makubwa sana ya kifedha na madeni chungu nzima ya mikataba ya kifisadi.
Sasa ni dhahiri kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme Dar es Salaam, maana haiwezekani umeme ukatike kila siku na kwa masaa mengi kiasi cha kuharibu mipango ya uzalishaji viwandani.
Sasa ni vema TANESCO watoe taarifa kamili ili sisi wenye viwanda tuweke mpango kamili wa uzalishaji, tunafahamu kwamba serikali ya Tanzania haina kiwanda chochote na wala haina mpango huo.
Hivyo wanaweza kukata umeme wapendavyo na wasipate hasara yoyote, lakini bado hawana mamlaka ya kukomesha wenye viwanda, tunalipa kodi kutokana na uzalishaji viwandani mwetu, hivyo tunastahili kutendewa haki.
Heshima kitu cha bure.
Huku kijijini kwangu kukatwa katwa umeme ni jadi na desturi...... hawana muda wala saa
Hata saa tisa usiku
Sasa hawechelewi kusema tukamdai Kikwete .Mtafute Tundu Lissu uwafungulie kesi mahakamani.
Lazima wakulipe.
Pole sana, itakuwa unaishi makazi mapya ndio maana wanakuoneeni. Nije nikupe company usiogope giza? kidding...Tanesco....
Tanesco
Tanesco