TANESCO ivunjwe kwa staili hii

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,239
12,755
Ni wazi shirika hili limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii.

Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali, na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme kwa kila mkoa. Mashirika haya ya usambazaji yaweze kununua umeme kutoka shirika la uzalishaji la serikali au kutoka kwa wazalishaji binafsi.

Mzalishaji binafsi akitaka kuweka solar farm ya 5MW na kuliuzia shirika la usambazaji la Shinyanga aruhusiwe. Anayetaka kujenga geothermal plant huko Rungwe na kuliuzia umeme shirika la usambazaji umeme mkoa wa Mbeya na afanye hivyo. Anayetaka kuzalisha umeme wa makaa huko Songea na afanye hivyo. Wakujenga microhydrodams na kuzalisha MW5 na azalishe. Mkoa kama Njombe ungeweza kualika wazalishaji wa kutumia mabwawa madogo na ungesahau kabisa habari za mgao. Lakini kwa vile TANESCO wamehodhi uzalishaji na usambazaji mambo hayo hayawezi kufanyika.

Tusidhani MW 2100 za bwawa la Nyerere zitatutosheleza kabisa. Bwawa hilo litatupeleka kwenye kama MW3500 tu. Nchi ya Africa kusini inayoongoza kwa kuzalisha umeme Africa ina MW 58,000. Tuna safari ndefu sana. Tunahitaji wazalishaji wengi binafsi. Tunahitaji MW nyingi sana.

Ni wakati wa kubinafsisha kwa dhati suala la uzalishaji wa umeme.
 
Ni wazi shirika hiki limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii.

Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme wa kila mkoa. Mashirika haya ya usambazaji yaweze kununua umeme kutoka shirika la uzalishaji la serikali au kutoka kwa wazalishaji binafsi.

Ikabidhiwe DP World!.
 
Tanesco hana mshindani sokoni
Ndo maana anatoa huduma mbovu na kwa dharau sana
Mbona ttcl inashindana na makampuni mengine kama voda, hatotel na tigo na biashara wanafanya
Serikali ilirusuhu wawekezaji washindaji kutoa huduma na bei ishuke
Tupo gizani,
Vijana wamejiajiri wanategemea umeme kwenye welding, kunyoa, viwanda nk
Sasa hili giza serikali inataka vijana wawe vibaka au magaidi
Tunaomba Tanesco ivunjwe
 
Kabisa. Nchi hii inapotential kubwa sana ya umeme. Ni monopoly ya TANESCO ndiyo inatukwamisha.
 
TANESCO isivunjwe bali TANESCO iuzwe. CCM haijawahi kuendesha ama kusimamia shirika ama taasisi yoyote ya umma kwa mafanikio. Ni shida!!!!!
 
Dear director rea project how to be pre qualified class one in tender documentary to bird all contractors rea? Because they don't know to identify the project strategy management in analysis to identify to present in intaview and question and answers to identify because the cerficate decolation is not results field work. How did they get it 12 months ago the same 365 days they should be to identify if a really electrical engineers around the world wide refer contract agreement written. As follow

1:Financial management and security fund and controller as follow
A. Value of money the running cost budget estimated is available 119.709.450 tsh refer annex 1 budget instructed in analysis as follow
  • Price per km construction line
  • Price to install customers connection
  • Price to install transformers
and pole dressing and installation
B: deducted retention 5% is available amount 5.985.472.5 tsh to reduce our value of money automatically
C: with tax holding 5% is available amount 5.985.472.5 tsh
D. Total deducted is available amount 11.970.945 tsh
E: remaining balance is available received to run the project and to provide all facility personal 95% sub contractors is available amount tsh 107.738.505 -:-dived 12 months Period of agreement the same total days 365 is available amount per month tsh 8.978.208 .75 dived 30 days is available amount per day 299.273.625 tsh how to run this amount and also results to deliver the job and to provide all facility personal 95% and how to recover vat on time? As follow in analysis to identify
  • Transportation cost budget daily each clew 100.000tsh
  • 16.733km scope of work mv line-:- 5 km per liter velocity waves daily at site to distribute our material and our staff is available total lite 3.3466 times 2 our destination daily comsupition is available total lite 6.6932 * times 3500 tsh price labor cost budget is available amount 23.426.2 daily at site
  • 35.03km scope of work lv line -:- dived 5km per liter velocity waves is available 7.006 lite times 2 our destination daily comsupition is available total lite 14.012 times 3500tsh price per liter is available daily cost at site 49.042 to distribute our material and our staff daily at site
*Transportation cost daily at site tsh 100.000 one clew
* Labor cost budget one clew in analysis as follow
20qty labor cost daily at site 200.000tsh
8qty climbing lineman at site 160.000tsh
1qty drive 20.000tsh
1qty foreman at site daily. 30.000tsh
Total amount one clew. 410.000tsh
How to run this amount 299.273.625tsh ? To provide all facility personal and to run
* Transportation cost to follow material warehouse each trip. 300.000tsh
100km from kibaigwa kogwa district to passed chamwino district to arrive dodoma town warehouse -:-dived 5km is available total lite 20 and go and return each trip 40lite times * 3500tsh is available amount 149.000
* Purchased safety gear PPE and insurance reqistation our staff estimated amount 7.000.000tsh
*Purchased working tools at site and damage tools estimated 11.000.000tsh
How to run this amount 299.273.625tsh to recover all facility personal 95% and also to run the project personal and also to deliver the job personal? How did they get it the value of money 119.709.450 to provide all facility and to run the project? Should be to identify the really electrical engineers which used formula the principal method to calculate mathematics and also results the number answers?

Planning material management and program to be pre qualified class one to identify in analysis as follow
A. 360km total from iringa to kibaigwa site -:-80 speed limit velocity waves is available total hours to arrive to deliver our wooden poles the same 4.5 hours each trip
B. 70qty each trip wooden poles 12mt size -:-16.733km scope of work ht line is available 4 trip total* times 70qty = 280qty is available
C 120qty -:-35.03km scope of work lv line is available 3 trip total*times 120qty each trip is available total 360pc wooden poles
D: 16
 
Ni wazi shirika hiki limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii.

Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme wa kila mkoa. Mashirika haya ya usambazaji yaweze kununua umeme kutoka shirika la uzalishaji la serikali au kutoka kwa wazalishaji binafsi.

Mzalishaji binafsi akitaka kuweka solar farm ya 5MW na kuliuzia shirika la usambazaji la Shinyanga aruhusiwe. Anayetaka kujenga geothermal plant huko Rungwe na kuliuzia umeme shirika la usambazaji umeme mkoa wa Mbeya na afanye hivyo. Anayetaka kuzalisha umeme wa makaa huko Songea na afanye hivyo. Wakujenga microhydrodams na kuzalisha MW5 na azalishe. Mkoa kama Njombe ungeweza kualika wazalishaji wa kutumia mabwawa madogo na ungesahau kabisa habari za mgao. Lakini kwa vile TANESCO wamehodhi uzalishaji na usambazaji mambo hayo hayawezi kufanyika.

Tusidhani MW 2100 za bwawa la Nyerere zitatutosheleza kabisa. Bwawa hilo litatupeleka kwenye kama MW3500 tu. Nchi ya Africa kusini inayoongoza kwa kuzalisha umeme Africa ina MW 58,000. Tuna safari ndefu sana. Tunahitaji wazalishaji wengi binafsi. Tunahitaji MW nyingi sana.

Ni wakati wa kubinafsisha kwa dhati suala la uzalishaji wa umeme.
Taneso liwe shirika au taasisi huru kama ilivyo Tigo Tanzania.

Isiongozwe na wanasiasa
 
TANESCO isivunjwe bali TANESCO iuzwe. CCM haijawahi kuendesha ama kusimamia shirika ama taasisi yoyote ya umma kwa mafanikio. Ni shida!!!!!
"BLACK PEOPLE are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.

[Emphasis is added]
 
Hoja yako ina mashiko kabisa, lakini pia ikipatikana kampuni shindani ya uzalishaji na usambazaji umeme tanesko watapata akili ya kufanya kazi kwa weledi kama sivyo watakua kama ttcl
 
Dear director rea project how to be pre qualified class one in tender documentary to bird all contractors rea? Because they don't know to identify the project strategy management in analysis to identify to present in intaview and question and answers to identify because the cerficate decolation is not results field work. How did they get it 12 months ago the same 365 days they should be to identify if a really electrical engineers around the world wide refer contract agreement written. As follow

1:Financial management and security fund and controller as follow
A. Value of money the running cost budget estimated is available 119.709.450 tsh refer annex 1 budget instructed in analysis as follow
  • Price per km construction line
  • Price to install customers connection
  • Price to install transformers
and pole dressing and installation
B: deducted retention 5% is available amount 5.985.472.5 tsh to reduce our value of money automatically
C: with tax holding 5% is available amount 5.985.472.5 tsh
D. Total deducted is available amount 11.970.945 tsh
E: remaining balance is available received to run the project and to provide all facility personal 95% sub contractors is available amount tsh 107.738.505 -:-dived 12 months Period of agreement the same total days 365 is available amount per month tsh 8.978.208 .75 dived 30 days is available amount per day 299.273.625 tsh how to run this amount and also results to deliver the job and to provide all facility personal 95% and how to recover vat on time? As follow in analysis to identify
  • Transportation cost budget daily each clew 100.000tsh
  • 16.733km scope of work mv line-:- 5 km per liter velocity waves daily at site to distribute our material and our staff is available total lite 3.3466 times 2 our destination daily comsupition is available total lite 6.6932 * times 3500 tsh price labor cost budget is available amount 23.426.2 daily at site
  • 35.03km scope of work lv line -:- dived 5km per liter velocity waves is available 7.006 lite times 2 our destination daily comsupition is available total lite 14.012 times 3500tsh price per liter is available daily cost at site 49.042 to distribute our material and our staff daily at site
*Transportation cost daily at site tsh 100.000 one clew
* Labor cost budget one clew in analysis as follow
20qty labor cost daily at site 200.000tsh
8qty climbing lineman at site 160.000tsh
1qty drive 20.000tsh
1qty foreman at site daily. 30.000tsh
Total amount one clew. 410.000tsh
How to run this amount 299.273.625tsh ? To provide all facility personal and to run
* Transportation cost to follow material warehouse each trip. 300.000tsh
100km from kibaigwa kogwa district to passed chamwino district to arrive dodoma town warehouse -:-dived 5km is available total lite 20 and go and return each trip 40lite times * 3500tsh is available amount 149.000
* Purchased safety gear PPE and insurance reqistation our staff estimated amount 7.000.000tsh
*Purchased working tools at site and damage tools estimated 11.000.000tsh
How to run this amount 299.273.625tsh to recover all facility personal 95% and also to run the project personal and also to deliver the job personal? How did they get it the value of money 119.709.450 to provide all facility and to run the project? Should be to identify the really electrical engineers which used formula the principal method to calculate mathematics and also results the number answers?

Planning material management and program to be pre qualified class one to identify in analysis as follow
A. 360km total from iringa to kibaigwa site -:-80 speed limit velocity waves is available total hours to arrive to deliver our wooden poles the same 4.5 hours each trip
B. 70qty each trip wooden poles 12mt size -:-16.733km scope of work ht line is available 4 trip total* times 70qty = 280qty is available
C 120qty -:-35.03km scope of work lv line is available 3 trip total*times 120qty each trip is available total 360pc wooden poles
D: 16
Jaribu kwa kiswahili.
 
Ni wazi shirika hili limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii.

Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali, na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme kwa kila mkoa. Mashirika haya ya usambazaji yaweze kununua umeme kutoka shirika la uzalishaji la serikali au kutoka kwa wazalishaji binafsi.

Mzalishaji binafsi akitaka kuweka solar farm ya 5MW na kuliuzia shirika la usambazaji la Shinyanga aruhusiwe. Anayetaka kujenga geothermal plant huko Rungwe na kuliuzia umeme shirika la usambazaji umeme mkoa wa Mbeya na afanye hivyo. Anayetaka kuzalisha umeme wa makaa huko Songea na afanye hivyo. Wakujenga microhydrodams na kuzalisha MW5 na azalishe. Mkoa kama Njombe ungeweza kualika wazalishaji wa kutumia mabwawa madogo na ungesahau kabisa habari za mgao. Lakini kwa vile TANESCO wamehodhi uzalishaji na usambazaji mambo hayo hayawezi kufanyika.

Tusidhani MW 2100 za bwawa la Nyerere zitatutosheleza kabisa. Bwawa hilo litatupeleka kwenye kama MW3500 tu. Nchi ya Africa kusini inayoongoza kwa kuzalisha umeme Africa ina MW 58,000. Tuna safari ndefu sana. Tunahitaji wazalishaji wengi binafsi. Tunahitaji MW nyingi sana.

Ni wakati wa kubinafsisha kwa dhati suala la uzalishaji wa umeme.
Umefikiria kwa uwezo wako wote na kuona kuwa tatizo la umeme TZ linatokana na Tanesco? Ebu fikiria vizuri halafu njoo hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom