Maombi ya mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015

KAUPEPO SAUFA

New Member
Feb 19, 2014
3
0
Samahan wana JF, naombeni kusaidiwa, wanaoomba ualimu, kwa waliomaliza 2013, wanatakiwa kuwa na division 3, au four 33 na 34, maana nimeshindwa kuelewa vizuri. Naombeni msaada wenu.
 
four ya 32_33 also hata km unadivision 1,2,3 unaweza ukaaply

mkuu nisaidie, tangazo linasema wenye 1,2 na 3 ndo wataingia direct na wenye 4 za 33 na 34 (wa mwaka jana) watatakiwa kupitia mafunzo kabilishi, sasa nimeshindwa kaolewa 4 za 31 na 32 wao wanaomba vipi?
 
Taarifa iliyopo ni kwamba a level mwsho three 25,26 na 27..diploma yoyote,28 -33 certificate.
 
Back
Top Bottom