Manyara: Marekani yachagia mchango wa Dola laki moja kwa maafa ya Hanang

Serikali oyee, Kwenye maafa wanatoa milioni moja kwa kila mwili wakati nasikia walikuwa wanatoa milion 20 kwa kila goli
 
Tuwashukuru ila hiyo pesa kwangu ni Dharau.

Ukizingatia kwa ukubwa wa kiuchumi wa Wamarekani pamoja na utu wanaotuuzia hapa Duniani mhh! Kwa taarifa yako ni juzi kati tu Nchini mwao walikusanya Bilioni $3 na ushee kwa kile wanachokiita "giving tuesday"
...labda wao wanahitaji zaidi.

Hili janga lingetokea eneo lolote Marekani(muumba awaepushe), naku hakikishia haki ya hanang tena, ungesikia hasara iliyotokea ni ya mabilioni ya Dollar!

Kwa eneo la mraba huo huo na kwa idadi ya watu hao hao, na kwa idadi ya nyumba hizo hizo na hata kwa idadi ya miundombinu hiyo hiyo... yaani kwa idadi ya athari za kijamii na kiuchumi hizo, tungesikia athari za janga hilo ni la mabilioni... Laki moja kweli? Hisyo si inatoka acct ya CHADEMA tu, au kutoka kwa Bilionea Mbowe au Bilionea Sugu au Bilionea ....na mabilionea wengi tu....ila sie sio Wamarekani

Hata hivyo huwa wanakamsemo kao huko "A beggar is not a chooser"

Tuupokee tu
Wanazidiwa na serikali ya SSH ilitoa $ 1 million kwa turkey alipopatwa na earthquake.
 
Sasa namba zako za simu za nini..

Halafu hiyo kijana mpenda taifa lake, sijui nin nini, ni ya nini.
😂🤣
 
Back
Top Bottom