Hivi kuna kampuni hata moja linamilikiwa na manji lime-be-registered MANJI? maana naona sasa tunaandika kama hatujaenda shule why do you address an entity which has not done any business with u?
Mhindi ametuingizia miti nyuma ya miili yetu.tumekuwa speechless,stupid
Hivi kuna kampuni hata moja linamilikiwa na manji lime-be-registered MANJI? maana naona sasa tunaandika kama hatujaenda shule why do you address an entity which has not done any business with u?
Utapata taabu nao bure, yaani concept ndogo tu ya entity haipandi kwa wengi
Haya sasa nyie wataalam, hebu tupeni maelezo ni wakati gani CEO, Director au Chairman ana take blame or credit of a situation kwenye kampuni au organisation yake?!
hivi labda kina Kasheshe hawaelewi nadharia ya piercing the corporate veil. Mtu huwezi kufanya ufisadi na kujificha nyuma ya "entity"... Not anymore anyway.. kama hawaamini wamuulize yule jamaa wa Enron!
Sometimes they do have a point, lakini mara nyingi naona utetezi wao ni ili mradi tu wametick vibox, ya kwamba, yes - pale wale wanaforum waliposema hivi... we fiercely objected to it!!
[/COLOR]
Rekebisha kauli yako la sivyo mimi nakuruka,kwani mimi ni mkristo kamili hivyo kuingizwa kitu nyuma ya mwili ni dhambi kubwa ambayo sitoweza kuikabili.Inawezekana wewe na wenzio ndio mnao.....miti.Mimi simo!
Haya sasa nyie wataalam, hebu tupeni maelezo ni wakati gani CEO, Director au Chairman ana take blame or credit of a situation kwenye kampuni au organisation yake?!
I can agree with you if these businesses are households, but surely sitakuwa najitendea haki ati nijifanye sijui biashara za utandawazi zinafanyika vipi?Kasheshe,
..watu wanataka kubanana na mmiliki wa kampuni. hayo masuala ya jina la kampuni hayatusaidii sana hapa. inaeleweka kwamba mmiliki ni Manji, so lets go frm there.
I can agree with you if these business are household, but surely sitakuwa najitendea haki ati nijifanye sijui biashara za utandawazi zinafanyika vipi?
Naomba unisaidie kampuni kama TBL ikichemsha mahali utamsema nani? na kama ukishindwa hilo then please stop.... doing machinga thinking style!
inategemea inachemsha vipi? kwa sababu unaweza kuishtaki kama kampuni lakini mengine yakitokea unawashtaki hata maafisa wake; you pierce the corporate veil.
What is the clinical name of manji Derrangement syndrome? It could be Yanga's financial problem I thinkThis is M.D.S (Manji Derrangement Syndrome). Manji this, Manji that, Manji = fisadi, Manji is out to get me, Manji is under my bed, Manji gives me nightmare when I go to sleep, are all symptoms of this disease. If you have no evidence to prove any allegations against Manji then leave the man alone.
Nadhani wataamini sasa.hivi labda kina Kasheshe hawaelewi nadharia ya piercing the corporate veil. Mtu huwezi kufanya ufisadi na kujificha nyuma ya "entity"... Not anymore anyway.. kama hawaamini wamuulize yule jamaa wa Enron!