Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .
Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !
Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?
Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
Mkuu mwana yanga punguza jazba .Ya siasa yamekushinda naona umeamua kuhamia huku na kuanza ugomvi na Manji
Mazoezi ya Yanga yatafanyika coco beach .Aende tu hatutaki uwekezaji wa kinyonyaji na uporaji wa mali za Umma
Manji mwenyekiti hawezi kuleta wadhamini , anayeweza ni Manji Mwekezaji .Udhamini alioahidi wa kutokea Japan Kama ckosei ulioshia wapi
Hili liwe somo kwa masikini wote nchi hii .Halafu mbaya zaidi, anaiachaje Yanga wakati mikataba ya kuwalipa wachezaji wengi ameingia yeye? Nani atamlipa Ngoma, Kamusoko, Niyonzima na funga kazi Obrey Chirwa?
Tajiri na mali yake , Masikini na wanawe , msimu huu mtakoma .Hivi mnajua kwamba amekuja na mpya ya kuidai Yanga sh. bilioni tano?
Hao wanao taka mabadiliko watalipaHalafu mbaya zaidi, anaiachaje Yanga wakati mikataba ya kuwalipa wachezaji wengi ameingia yeye? Nani atamlipa Ngoma, Kamusoko, Niyonzima na funga kazi Obrey Chirwa?
Ndio alicheza mpira mwingi sanaMambo ya Yanga waachie wenyewe. Hivi Manji alikuwa uwanjani?
Labda niwakumbushe kipigo cha tanobilaa kilianzia kwa akilimali nchunga kamasijakosea anamjua vyema NA ataki kabsa kusikia nenoyanga..huyuu mzee alitoaa kofiaa mkutanowausuluhishi nendenn..loh...wanachama walitaka kumaliza familia familiayake..leohii huyumzee katangaza
1))ANAETAKA KUTENGANA NA FAMILIA YAKE KWA MDA USIOJULIKANA AJARIBU KUVAMIA KWAKE..