Manji aanza kuihujumu Yanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,121
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .

Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !

Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?

Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
 
Mmeanza unaa mikia
 
Yaani nyie mbumbumbu hamna mpya mbona mnaumia sana kuliko hao yanga wenyewe manji alikuwa anacheza namba ngapi
 
Mmeshaanza tayari, sasa si mwacheni tu ajiondokee. Ina maana Yanga haina watu wengine? Kumbuka Yanga ni brand kubwa hivyo mnapaswa kuanza kuishi kibiashara zaidi mambo ya charity achana nayo
 
Aliyemleta ni nani ? Iko hivi mkuu Manji kaambiwa achague kimoja aachie uenyekiti akabidhiwe timu kama mwekezaji , ili uongozi umfuatilie anachofanya , sasa haiwezekani awe mwekezaji na tena awe mwenyekiti .
 
474f3ff0a02d50b59798fcec2e2377e3.jpg

muombeni msamahaa wana yanga mzee akilimali lasivo mtachezea kila kukicha
 
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .

Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !

Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?

Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
Peleka huko umbeya wako. Matokeo ya uwanjani yameamua mshindi wa hiyo ngao ya jamii. Acha kutufitisha tena ukome na ulegee kabisa.
 
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .

Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !

Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?

Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
Majungu.com
 
474f3ff0a02d50b59798fcec2e2377e3.jpg

muombeni msamahaa wana yanga mzee akilimali lasivo mtachezea kila kukicha
KWELII M N MWANAYANGA DAMU BILA HAWAAAWAZEE TUTArAJIE MIMBA YA MAPACHA WATATUU

KWAWENYE KUMBUKUMBUU KICHAPO CHA TANO KILIANZIA KWAHUYU MZEE WALIANZA MALUMBANO WEE HAPO KATI MWISHO NZEEENZEELE

ASBH NJEMA
 
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .

Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !

Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?

Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
manji kafunga bao ngapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom