Manji aanza kuihujumu Yanga

Uwezo wao ndio ulipoishia ilikuwa sawa kupoteza huo Mchezo,walizidiwa mbinu kimchezo wakapigwa bao.
 
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .

Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !

Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?

Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .

Ya siasa yamekushinda naona umeamua kuhamia huku na kuanza ugomvi na Manji
 
IMG-20160818-WA0019.jpg
 
Halafu mbaya zaidi, anaiachaje Yanga wakati mikataba ya kuwalipa wachezaji wengi ameingia yeye? Nani atamlipa Ngoma, Kamusoko, Niyonzima na funga kazi Obrey Chirwa?
 
Benchi la ufundi limekasirika mtashindaje? Na mzee kawaomba radhi ila mmegoma kutoa tamko la msamaha.
Mtachezea kichapo mwaka huu mpaka mshuke ndondo Cup.
 
Labda niwakumbushe kipigo cha tanobilaa kilianzia kwa akilimali nchunga kamasijakosea anamjua vyema NA ataki kabsa kusikia nenoyanga..huyuu mzee alitoaa kofiaa mkutanowausuluhishi nendenn..loh...wanachama walitaka kumaliza familia familiayake..leohii huyumzee katangaza

1))ANAETAKA KUTENGANA NA FAMILIA YAKE KWA MDA USIOJULIKANA AJARIBU KUVAMIA KWAKE..
 
Kumbe na wewe ni Kandambili FC?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom