Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 10,010
- 20,241
watasema ametumwa na yanga. soon.BREAKING NEWS: MANGUNGU AKATAA KUJIUZULU
Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi katika nafasi hiyo.
#FutbalPlanetUpdates
Nb: Hatoki mtu hapaView attachment 2964319