Nilishakujua wewe ni anti MK ila unakuja humu kurusha picha za ajabu, kumbe donge unalo bado. Kwa business hauoni ndani kwake kwa kweli. Sijapenda wewe miaka 40 unajirusha mapicha yako humu kujionyesha, si utulie au? Kwa nini hujaanzisha thread yako ya photos before hii?
Sipendi wanawake wanaovuka mipaka mie.
Mange acha ugomvi peace is the way to go.msigombane baba yetu mmoja jamani.kila mtu anauzuri wake .kila mtu anamaisha yake.upendo jamani duh,peace be with you all .character assassination si viziri ,Christmas is coming can't we get along .Not nice kabisa peace ,spirit free ,happiness,holiness is all what we need .