Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Kesho tuletee na habari za afrika kusini kuua waafrika wenzao huko kwao na kuwataka kuondoka
Tumalize na hii kwanza mkuu kuchangia.Hiyo mada nitaleta ucjali ya wazulu kuwaua wakulima wa kizungu na wabantu wenzao kwa ubaguzi usio na mashiko
 
Wale si waafrika, mipaka ya mabara imewaingiza ili ramani ya afrika iwe imetengenishwa na maji na mabara mengine. Ndio maana huwa hakuna hamasa sana timu zao zinapofika hatua za juu kwenye michuano ya kidunia tofauti na nchi za weusi. Tunisia ni nchi ya ulaya yenye unasaba na uarabu iliyopo afrika. Morocco, algeria, misri na tunisia zina nyodn sana kwa waafrika wenzao na ndiyo maana wapo kwenye umoja wa nchi za kiarabu duniani
Mara Tunisia siyo afrika Mara Wana nyodo na waafrika wenzao,afrika kusini wanajua waafrika wenzao huko,wanapiga mpaka moto
 
Mambo mengine kwa Mtu mzima kama wewe hata hutakiwi kutetea kwa kulinda misimamo yako ya kidini. “Wrong is Wrong” Popote Unapofanyika ujinga kwa hali yoyote unatakiwa kukemewa bila kujali lolote. Ili limefanywa na muhindi mchina mwarabu mzungu au vyovyote vile. Tuache kuvaa miwani ya mbao ni aina nyingine ya upumbavu.
Naona umekosa hoja unaleta dini.
 
Mara Tunisia siyo afrika Mara Wana nyodo na waafrika wenzao,afrika kusini wanajua waafrika wenzao huko,wanapiga mpaka moto
kule afrika kusini wale ni magenge ya wahuni wasiofanya kazi wanaonea wivu wafrika wenzao weusi wageni. Wale walishaathirika na siasa za kibaguzi tangu enzi za utawala wa makaburu, tuwasamehe tu wenzetu wale
 
Hii story umetoa wapi?????Kwenye vitabu vya wayahudi au waarabu???
Jamii zote zimetoka kwa Watoto wa 3 wa Nuhu. Japhet amezaa bara la Ulaya, Watoto wa Japhet ni 1. Mtoto Gomeri Japhet nchi zake ni Belarus, Ukraine (Rifat), Ashkenaz (poland, Germany, Uk, Australia Denmark, Sweden, Ireland, Iceland,Finland, Estonia, Lativia, Norway).

2. Mtoto Yavan Japhet nchi zake ni Ugiriki (Elisha), Tarshish (Italy, Malta, France, Spain, Portugal, Austria, Switzerland, Cyprus, South and North America nations). 3. Mtoto Madai Japhet nchi zake ni Moldova, Romania, Bulgaria, Serbia, Slovenia, Crotia. 4. Mtoto Meshaki nchi zake ni Russia. 5. Mtoto Magogu Japhet nchi zake ni Dagestan Russia, Chechnia Russia, Azerbaijan.

6. Mtoto Tubal Japhet nchi zake ni Kazakhstan, Uzbekistan, Kirigistan, Tuva (ndani ya Russia), Siberia (Ndani ya Russia).

Shem Nuh amezaa bara la ASIA, 1. Mtoto Alphaxad Shem nchi zake ni Israel(Ibrahim Isack), Syria, Jordan, Saudi Arabia( Ibrahim Ishmael), Bahrain(Ibrahim + Ketura), Qatar(Ibrahim +Ketura) UAE(Ibrahim+ Ketura), Oman.

2. Ashuru Shem nchi zake ni, Iran, Irak, Afghanistan, Pakistan. 3. Aram Shem nchi zake ni India, Bangladesh, Laos, Nepal, Sirilanka, Indonesia, Thailand. 4. Lud Shem nchi zake ni Mongolian, China, Vietnam, Japan, Philippines, Korean. Ham nilishatoa mataifa yake hapo juu. Hivyo ndivyo mataifa yalivyotoka.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Usta = wasta (influence).
Arab = Waarabu (Arabian).

Arabian influence.
Hoja hapa ni nini ikiwa kiswahili kina mchanganyiko wa Kiarabu? Neno Ustaarab lingekuwa ni neno la kingereza nadhani ndiyo ingekuwa hoja ya kuleta changamoto. ni sawa na kushangaa watu ndani ya Dunia.
 
U
ule afrika kusini wale ni magenge ya wahuni wasiofanya kazi wanaonea wivu wafrika wenzao weusi wageni. Wale walishaathirika na siasa za kibaguzi tangu enzi za utawala wa makaburu, tuwasamehe tu wenzetu wale
kule afrika kusini wale ni magenge ya wahuni wasiofanya kazi wanaonea wivu wafrika wenzao weusi wageni. Wale walishaathirika na siasa za kibaguzi tangu enzi za utawala wa makaburu, tuwasamehe tu wenzetu wale
Umelewa mwamba!?
 
Back
Top Bottom