Uafrika siyo race/rangi ya ngozi,uwe unaelewaFaizaFoxy huwa anawaita hao Waarabu ni waafrika kumbe ni 'race' mbili tofauti kabisa.
Uafrika siyo race/rangi ya ngozi,uwe unaelewaFaizaFoxy huwa anawaita hao Waarabu ni waafrika kumbe ni 'race' mbili tofauti kabisa.
Tumalize na hii kwanza mkuu kuchangia.Hiyo mada nitaleta ucjali ya wazulu kuwaua wakulima wa kizungu na wabantu wenzao kwa ubaguzi usio na mashikoKesho tuletee na habari za afrika kusini kuua waafrika wenzao huko kwao na kuwataka kuondoka
Mara Tunisia siyo afrika Mara Wana nyodo na waafrika wenzao,afrika kusini wanajua waafrika wenzao huko,wanapiga mpaka motoWale si waafrika, mipaka ya mabara imewaingiza ili ramani ya afrika iwe imetengenishwa na maji na mabara mengine. Ndio maana huwa hakuna hamasa sana timu zao zinapofika hatua za juu kwenye michuano ya kidunia tofauti na nchi za weusi. Tunisia ni nchi ya ulaya yenye unasaba na uarabu iliyopo afrika. Morocco, algeria, misri na tunisia zina nyodn sana kwa waafrika wenzao na ndiyo maana wapo kwenye umoja wa nchi za kiarabu duniani
Hata wewe mgogo ulifurahia watusi na wakenya kufurushwa Tanzania siku zileTumalize na hii kwanza mkuu kuchangia.Hiyo mada nitaleta ucjali ya wazulu kuwaua wakulima wa kizungu na wabantu wenzao kwa ubaguzi usio na mashiko
Lini hiyo mkuu???Hata wewe mgogo ulifurahia watusi na wakenya kufurushwa Tanzania siku zile
Muite Mh Kaisi mwafrika kama atakuelewaUafrika siyo race/rangi ya ngozi,uwe unaelewa
Naona umekosa hoja unaleta dini.Mambo mengine kwa Mtu mzima kama wewe hata hutakiwi kutetea kwa kulinda misimamo yako ya kidini. “Wrong is Wrong” Popote Unapofanyika ujinga kwa hali yoyote unatakiwa kukemewa bila kujali lolote. Ili limefanywa na muhindi mchina mwarabu mzungu au vyovyote vile. Tuache kuvaa miwani ya mbao ni aina nyingine ya upumbavu.
kule afrika kusini wale ni magenge ya wahuni wasiofanya kazi wanaonea wivu wafrika wenzao weusi wageni. Wale walishaathirika na siasa za kibaguzi tangu enzi za utawala wa makaburu, tuwasamehe tu wenzetu waleMara Tunisia siyo afrika Mara Wana nyodo na waafrika wenzao,afrika kusini wanajua waafrika wenzao huko,wanapiga mpaka moto
Umemuelewa mleta hoja kweli ?!.Unaishia kufoka tu na hata hujui Africa ina race zipi,unachojua wewe kila mtu mweusi aliye Africa ni mbatu,poor!! Watu weusi wapo wengi tofauti na wabantu unaowatangaza wewe ambao ni nilotes,cushites,khoi(bushmen)(clicking sound)
Acha kukalili kijana!!
Usta = wasta (influence).Upo sahii mkuu sababu ya nasaba za kidini watu huupinga ukweli.Nimewauliza maana neno USTA-ARABU kama wanalielewa
Jamii zote zimetoka kwa Watoto wa 3 wa Nuhu. Japhet amezaa bara la Ulaya, Watoto wa Japhet ni 1. Mtoto Gomeri Japhet nchi zake ni Belarus, Ukraine (Rifat), Ashkenaz (poland, Germany, Uk, Australia Denmark, Sweden, Ireland, Iceland,Finland, Estonia, Lativia, Norway).Hii story umetoa wapi?????Kwenye vitabu vya wayahudi au waarabu???
Unajulikana vyema.Naona umekosa hoja unaleta dini.
Hoja hapa ni nini ikiwa kiswahili kina mchanganyiko wa Kiarabu? Neno Ustaarab lingekuwa ni neno la kingereza nadhani ndiyo ingekuwa hoja ya kuleta changamoto. ni sawa na kushangaa watu ndani ya Dunia.Usta = wasta (influence).
Arab = Waarabu (Arabian).
Arabian influence.
Umelewa mwamba!?kule afrika kusini wale ni magenge ya wahuni wasiofanya kazi wanaonea wivu wafrika wenzao weusi wageni. Wale walishaathirika na siasa za kibaguzi tangu enzi za utawala wa makaburu, tuwasamehe tu wenzetu wale
Dah, hata haufahamu kuwa Kiswahili kimetokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa? Soma: Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasahaHoja hapa ni nini ikiwa kiswahili kina mchanganyiko wa Kiarabu? Neno Ustaarab lingekuwa ni neno la kingereza nadhani ndiyo ingekuwa hoja ya kuleta changamoto. ni sawa na kushangaa watu ndani ya Dunia.
Naam. Kwanini nisijulikane?Unajulikana vyema.
Nani asiejua hilo kuwa kiswahili kina kiarabu ndani?Nimekuuliza Hoja ni ipi hapo ikiwa kiswahili kina kiarabu?Swali langu ni ”hoja ni ipi”Dah, hata haufahamu kuwa Kiswahili kimetokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa? Soma: Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha
kasemaje?Kaongea mengi ila kwa kifupi wakazi wa afrika kaskazini hawapo tayari kuchangamana na waafrika wanaotoka kusini mwa jangwa la sahara.