Rais Kais: Kuna njama ya kuua utambulisho wa Kiarabu wa nchi ya Tunisia kwa kuruhusu wimbi la wahamiaji wa Kiafrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,838
Habari Wabantu wenzangu,

Rais wa Tunisia Saied Kais amenukuliwa akisema kwamba kuna njama ya kuua utambulisho wa taifa lake wa Kiarabu kwa kuligeuza taifa la Afrika unaosababishwa na wimbi kubwa la wahamiaji haramu wa Kiafrika kutoka Sub-Sahara.

Rais huyo dikteta amesema lengo la kubadili rangi ya watu wake halitafanikiwa kwani atalikabili kwa nguvu zote.

My Take.

Hivi haya Maarabu ya Afrika Kaskazini kwa nini yasiwe yanatambuliwa upande huo wanakojipendekeza?

Na sie Africans tuboreshe maisha ya watu wetu ili waache kukimbia nchi zao, mwisho wa siku wanabaguliwa, kunyanyasa na kudhalilishwa kama huyu mpuuzi anavyosema.

======

Tunisia's President Kais Saied says there is a plot to change his country's racial demography with the influx of undocumented Sub Saharan African migrants. "The goal of the waves of illegal immigration is for Tunisia to be considered purely African with no affiliation to Arabs".

kaiz.jpg
kaiz 1.jpg


Africa Fact Zone
 
... endeleeni kuamini ile kauli baada ya Morocco kutinga sijui robo fainali ya WC kwamba ni zawadi kwa waarabu ilitolewa kwa bahati mbaya! Well planned; well calculated; well agreed! Endeleeni kuamini North Africa ni African states! Endeleeni kushoboka!
 
Habari Wabantu wenzangu..

Rais wa Tunisia Saied Kais amenukuliwa akisema kwamba Kuna njama ya kuua Utambulisho wa Taifa lake wa Kiarabu Kwa kuligeuza Taifa la Afrika unaosababishwa na Wimbi kubwa la Wahamiaji haramu wa Kiafrika kutoka subSahara..

Rais huyo dikteta amesema lengo la kubadili rangi ya watu wake halitafanikiwa kwani atalikabili Kwa Nguvu zote.

My Take.

Hivi haya Maarabu ya Afrika Kaskazini Kwa nini yasiwe yanatambuliwa upande huo wanakojipendekeza?

Na sie Africans tuboreshe maisha ya watu Wetu Ili waache kukimbia Nchi zao,mwisho wa siku wanabaguliwa,kunyanyasa na kudhalilishwa kama huyu mpuuzi anavyosema.

Hawa siyo Waafrika ila wanaishi Afrika. Tulipaswa kwa umoja wetu tuwarudishe walikotoka.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mnanishangaza nyie mnaolalamika .kwanini mnataka mtambuliwe? Hivi hamuwezi kujitambua wenyewe?

Hii pia imewakumba na kuwaaaribu sana wamerikani weusi kila kinachofanywa wanaona kama wanafanyiwa wao.

Watu weusi mnatakiwa mjikubali jinsi mlivyo na msiwe mna wasiwasi kila mara kujihisi nyie mnaonekana si watu dunia itawashangaa ebo.
 
Jamii ya watu weusi ndio jamii iliyotegwq zaidi na jamii nyingine za magahribi na mashariki mwa Dunia KWANINI?

Kwasababu

-Religous reaosons ( tumegawanywa kiimani, na kupumbazwa na dini zinazochochea ujinga na umasikini)

-Economic Reasons ( tumeshindwa kuwekeza na kutengeneza uchumi wa Africa, kutumia tulivyonavyo tumeziachia beberu sisi tumeendekeza uvivu, uchawi, wivu, umbea)

-Political reasons ( tumetawaliwaa na nepotism, ubabe, uchoyo na ubinafsi)

- Social reasons ( Tunapenda sana ngono, kuzaa zaa hovyo, mawazo mgando, etc

Sio huko Tunisia au Morocco pekee hata hapa Tanzania waarabu, wachina na wahindi hawataki kuchanganyana na rangi nyeusi sababu wanaju sisi ni time wasters, wavivu na wapenda raha, tunapenda kuongea simba na yanga kwenye dala dala, kazini, nyumbani, bar n.k. tukibadilisha mada ni m.....................naanzisha uzi mbele
 
Mnawafunga na wanaozea jela maelfu ya waethiopia weusi wenzetu kwa kupita hapa kwetu wakiwa transit kwenda South Africa kutafuta maisha.Tena weusi wenzetu.

Kenya wanawapa free passage ya kupita sisi tunawakamata na kuwafunga.

Unapo treat vibaya weusi wenzako unakosa moral authority ya kukemea wengine.A pot calling a kettle black.
 
Habari Wabantu wenzangu..

Rais wa Tunisia Saied Kais amenukuliwa akisema kwamba Kuna njama ya kuua Utambulisho wa Taifa lake wa Kiarabu Kwa kuligeuza Taifa la Afrika unaosababishwa na Wimbi kubwa la Wahamiaji haramu wa Kiafrika kutoka subSahara..

Rais huyo dikteta amesema lengo la kubadili rangi ya watu wake halitafanikiwa kwani atalikabili Kwa Nguvu zote.

My Take.

Hivi haya Maarabu ya Afrika Kaskazini Kwa nini yasiwe yanatambuliwa upande huo wanakojipendekeza?

Na sie Africans tuboreshe maisha ya watu Wetu Ili waache kukimbia Nchi zao,mwisho wa siku wanabaguliwa,kunyanyasa na kudhalilishwa kama huyu mpuuzi anavyosema.


Huu ubaguzi ni wa kupigwa Vita ila sheria za kila nchi ziheshimiwe.

Bwana Utam Gavana Dalmine Yoda
 
Kiasili nchi kama Tunisia, Morocco, Libya na Algeria siyo nchi za kiarabu. Waarabu walifika Afrika kupitia uvamizi wa jihadi mnamo karne ya saba. Maeneo hayo mwanzoni yalikaliwa na jamii za kifonike na kiamazii ambazo zilikuwa kutawaliwa na dola la mrumi.
 
Back
Top Bottom