Mandela Day 2022: Ni kwa namna gani tunamuenzi Hayati Nelson Mandela?

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kila Julai 18, Siku ya Mandela au Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela inasherehekewa duniani kote kuenzi mafanikio ya Kiongozi huyo

Kwa mwaka 2022, Maadhimisho haya yanaangazia Usalama wa Chakula na Mabadiliko ya TabiaNchi

Mandela alizaliwa Julai 18, 1918 na kufariki dunia Desemba 5, 2013. Alikuwa Rais wa Afrika Kusini kati ya 1994 - 1999

Maadhimisho ya Siku hii yalipitishwa na Umoja wa Mataifa (UN) Novemba 2009 kutambua mchango wa Nelson Mandela katika Demokrasia, Usawa wa Kijinsia, Haki za Binadamu na vita dhidi ya Umasikini

Siku ya Mandela inalenga kuhamasisha watu wote kuchukua hatua na kuleta mabadiliko katika Jamii kwani kila mmoja ana uwezo kufanya hivyo

1658130637339.png

=========

The United Nations officially designated Nelson Mandela International Day or Mandela Day in November 2009. Every year on July 18, Mandela Day is celebrated on the birth anniversary of the former President of South Africa. The day is celebrated worldwide to commemorate achievements of the anti-apartheid leader and to carry forward his legacy for a better future.

Mandela Day, also known as Nelson Mandela International Day, is a celebration of the 67-year long fight of the South African leader against the racial discrimination and human rights abuses. He was the country’s first black president. The purpose of the day is to inspire everyone to make a difference in their communities by following the ideology and vision of Mandela.

NELSON MANDELA INTERNATIONAL DAY: HISTORY

The United Nations officially designated Nelson Mandela International Day or Mandela Day in November 2009, with the first celebration taking place on July 18, 2010. Each year, Nelson Mandela International Day sheds a focus on the legacy of a man whose colossal achievements transformed the twentieth century.

He was the recipient of more than 250 awards, including the Nobel Prize. The United Nations General Assembly instituted the Nelson Mandela Prize in 2014 to honour those who have dedicated their lives to serving humanity.

INTERESTING FACTS ABOUT NELSON MANDELA

- Mandela’s birth name was Rolihlahla, which means ‘pulling the branch of a tree’ or ‘troublemaker’ in his tribe. On his first day of elementary school, his teacher gave him the name ‘Nelson’

- Graça Machel, the wife of Nelson Mandela was first married to Mozambique President Samora Machel. Following the death of her husband, she married Mandela, on his 80th birthday

- Nelson Mandela had a passion for boxing

- Nelson appeared in Spike Lee’s 1992 biopic Malcolm X. He made a cameo appearance in the role of a teacher

- In 1952, he established the nation’s first Black legal firm in Johannesburg after studying law at the University of Witwatersrand

Pia Soma >>>> Hekima za Mandela na wakati tulionao watanzania
 
Beth, Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha jijini Arusha wanatekeleza hilo kwa makini sana na kumekuwepo week nzima ya kujadili, kuenzi na kujifunza yote mema aliyokuwa nayo huyo mzee.

Nimepata kuwepo katika moja ya jukwaa la week ya Mandela na kujifunza mengi, tatizo ni uendelezaji wa maono ya viongozi wa aina yake as our late father of nation JKN.

Zinabaki kuwa week za kuongea na kula posho tu.
 
Huyu aliyeuza watu wake na ardhi yake Ili awe Rais ndio unamuenzi kwa lipi? Unless wewe ni mnufaika.
Acha kuleta upumbavu hapa,wewe unajua politics za SA au unaongea upuuzi, soma na fanya utafiti kuhusu issue za SA hasa kuhusu land, Tanzania tumetoa wazawa kule kwenye mashamba ya mpunga Rujewa je umeshawahi kusikia hili?,na kwa taarifa yako hadi leo president wa SA ndiye Rais hasa barani Africa ,kwetu hapa hata panya akiwekwa pale magogoni still nchi itatulia!
 
Acha kuleta upumbavu hapa,wewe unajua politics za SA au unaongea upuuzi, soma na fanya utafiti kuhusu issue za SA hasa kuhusu land, Tanzania tumetoa wazawa kule kwenye mashamba ya mpunga Rujewa je umeshawahi kusikia hili?,na kwa taarifa yako hadi leo president wa SA ndiye Rais hasa barani Africa ,kwetu hapa hata panya akiwekwa pale magogoni still nchi itatulia!
Toa utaahira wa huyo mangungo wa Karne ya 21 aliyewauza watu wake na ardhi.
 
Back
Top Bottom