Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

Nimekubadilishia Film na kukuwekea hicho kipande cha mwisho.

Zubeda na yeye atakuwa na kazi sana ya kuniambia yeye ni DUME ila pia haitasaidia.

Hata mie huwa ni mtu wa "nguruwe pita" ila kwa Zubeda, itakuwa kulipa KISASI changu cha CCM Kuchakachua.

Ntajilazimisha hivyohivyo maana Kisasi kitamu bana. Ngoja nianze weekend maana, Wanzuki ya leo hapa Sikonge ni kasheshe kweli kweli na haiwezi kupita bila Mzee wa Wilaya ya Sikonge kuwepo na kuanza kuwaambia wananchi "wakati mie nina CHIA hapa na Mama Muuza, basi na nyie huko CHIANENI wenyewe kwa wenyewe....." Na glass gree......
Huko kwa mashoga mkuu nasema Nguruwe pita leo sina mkuki. Kwikwikwi
 
Hata kama yeye ni DUME, nimeshamwambia kuwa NO BODY IS PERFECT, Still i love her or him.

Mashoga kwani Thi watu? Kama thi watu ni Njigo? (Lakini hii iwe siri yako peke yako Mkuu, nakunong'oneza).

Ukitaka kuelewa ninachosema, basi angalia hii film, MWISHO KABISA MWA FILM.

Picha ya zamani ila nzuri sana.
kupenda shoga kunakufanya na wewe kuwa mmoja amna tofauti unafurahisha sana, hila umenikuta kwenye good mood na stress free. Akiba ya maneno tarehe kumi wanafanya party angalia vizuri jamaa wa Urban Pulse wakurekodie halafu tazama mashoga wa ukweli watakavyo fyata.

Biashara ya kukaa chini kuongea na akina mwajuma ndio mnakuwa na akili za kike halafu we kweli huwe kiongozi si ndio kuifanya nchi nzima hiwe na tabia zenu za kike i can come to your hood and take ya girl anytime kama mwanaume wake ndio wewe.

Just listen im going in person wengi wananisikia tu na wengi wakizani nawakimbia wao kumbe na deal na ma-book hila mafala tu nisiandikie mate wakati wino upo when i want to do something i normally do it. Mtume mwakilishi wako kabisa akuthibithishie not just a dog but whos the top dog you fag.
 
Kila njia halali ya kupinga wizi wa kura lazima itumike. Ushahidi upo kuwa Tume, Ikulu na CCM wameiba kura kwa hiyo tutaandamana tu. Hakuna wa kuzuia hilo.Kikwete ajue kuwa wote si wajinga na hatukubali kutawaliwa kwa wizi wa kura.

I'm gonna bring cartons of KoolAid and lipbums.
If anybody needs a round trip ticket for Greyhound, I'd be more than willing to help!:hippie:
 
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.

Seriously! mtapotezamuda wenu bora mkabebe mabox, kwani GOVNM`T YA W.D.C wao wataangalia report ya international observers ! na wala si ninyi mlioko huko Ambao hali halisi ya uchaguzi hamjaiona mmefanya kusikia. TENA kutoka upande MMOJA!
 
Mkuu umetokea wapi? Zakumi hebu lioni hili:\

"Tulizomee hahhahaha, tulicheke ohhhhhhh"

"Limeinama, limeinuka, limeona haya hilo............."

Hao Mashoga kwa taarifa yako ndiyo wanaotunza nchi kama Tanzania. Kodi yao ndiyo unaletewa wewe Mtanzania ulipwe mshahara, ujengewe mabomba ya maji, barabara, madawa nk. Ni pesa za kina Elton John, George Michael, Mzanzibar Marehemu Freddy Mercury na genge lao ndiyo wanaokupeni hivi vitu kwa kodi zao.

Sisi kujifanya kila kitu taabu ila utashangaa hadi maneno tunayo kibao ambayo hata Wazungu hawana: Basha, Ms**ge, Ms**ge kigeuzi, shoga, Muagrican, Bwabwa, Bata, Samaki, Jicho, Tigo nk nk Mnayatowa wapi haya kama nyie kweli ni kizazi kitakatifu? Hizo sherehe zote hizo umezijulia wapi? Mie hata sijazisikia ila mwenzangu tayari unajua hadi zilipo na tarehe kabisa.

ACHA kudandia TGV la Mfaransa kwa mbele kijana. Kama huna la kusema, kaoshe mdomo ukalale.

Kama Watafuta shoga mwenzio, yupo mtani wangu hapa anajiita Boflo, mtapatana kabisa.

Wengine tupo kuipokea weekend. Mweeeeeee, unikome mtoto wa Sikonge.
kupenda shoga kunakufanya na wewe kuwa mmoja amna tofauti unafurahisha sana, hila umenikuta kwenye good mood na stress free. Akiba ya maneno tarehe kumi wanafanya party angalia vizuri jamaa wa Urban Pulse wakurekodie halafu tazama mashoga wa ukweli watakavyo fyata.

Biashara ya kukaa chini kuongea na akina mwajuma ndio mnakuwa na akili za kike halafu we kweli huwe kiongozi si ndio kuifanya nchi nzima hiwe na tabia zenu za kike i can come to your hood and take ya girl anytime kama mwanaume wake ndio wewe.

Just listen im going in person wengi wananisikia tu na wengi wakizani nawakimbia wao kumbe na deal na ma-book hila mafala tu nisiandikie mate wakati wino upo when i want to do something i normally do it. Mtume mwakilishi wako kabisa akuthibithishie not just a dog but whos the top dog you fag.

Ndiyo maana umejipa na jina la Zinji. Rudi kwenye karne yako, hii karne ya 21 kijana.
 
sawa kabisa na sisi tunawaunga mkono walioko US na sisi hapa UK tunajikusanya! hongereni sana
 
alafu umeona eeh!! kuna watu wanauzi humu sijui wamevamia kutoka wapi!!!
kuna siku mtu atapipewa ngumi ya jicho humu
 
Mkuu umetokea wapi? Zakumi hebu lioni hili:\

"Tulizomee hahhahaha, tulicheke ohhhhhhh"

"Limeinama, limeinuka, limeona haya hilo............."

Hao Mashoga kwa taarifa yako ndiyo wanaotunza nchi kama Tanzania. Kodi yao ndiyo unaletewa wewe Mtanzania ulipwe mshahara, ujengewe mabomba ya maji, barabara, madawa nk. Ni pesa za kina Elton John, George Michael, Mzanzibar Marehemu Freddy Mercury na genge lao ndiyo wanaokupeni hivi vitu kwa kodi zao.

Sisi kujifanya kila kitu taabu ila utashangaa hadi maneno tunayo kibao ambayo hata Wazungu hawana: Basha, Ms**ge, Ms**ge kigeuzi, shoga, Muagrican, Bwabwa, Bata, Samaki, Jicho, Tigo nk nk Mnayatowa wapi haya kama nyie kweli ni kizazi kitakatifu? Hizo sherehe zote hizo umezijulia wapi? Mie hata sijazisikia ila mwenzangu tayari unajua hadi zilipo na tarehe kabisa.

ACHA kudandia TGV la Mfaransa kwa mbele kijana. Kama huna la kusema, kaoshe mdomo ukalale.

Kama Watafuta shoga mwenzio, yupo mtani wangu hapa anajiita Boflo, mtapatana kabisa.

Wengine tupo kuipokea weekend. Mweeeeeee, unikome mtoto wa Sikonge.

Ndiyo maana umejipa na jina la Zinji. Rudi kwenye karne yako, hii karne ya 21 kijana.
Nikupoteza muda wangu kubishana na mwanamke wa jumla jumla nothing productive is gonna come out of that dirty mouth considering the only thing that goes is dirty in the first place. Na wewe hupo hapa kuijiuza.

Kama nilivyokwambia you spend so much time na akina mwajuma na uwaga sina muda kuongea, especially when it comes to nonsense hata hili sina muda hila kwa kuwa wengi hawanijui kama wewe na mafala wenye akili finyu kama wewe (truth be said) wameongea sana kwa uoga its about time to put fools where they belong nimemaliza. Utasikia im the sort that causes storm when im around, i dont choose to do it just happens and when im not to avoid, then trouble follows me.

Well, jembe(*****) for now im out but keep listening enough of this stupidity.
 
Kaaazi kwelikweli hawa akina OCTOBER 2010. Anajifanya mgeni wakati amekomaa hadi usiku uso unamuuma. Kama huliwezi joto, kimbia jiko. Ila kiherehere chako kinakufanya uendelee kuwepo na kusoma.

Msula eve, eee eeeh!!!!

Pizda tvui mat, hahahaaaa harashooo!!!! Noyaga ngosha.
Nikupoteza muda wangu kubishana na mwanamke wa jumla jumla nothing productive is gonna come out of that dirty mouth considering the only thing that goes is dirty in the first place. Na wewe hupo hapa kuijiuza.

Kama nilivyokwambia you spend so much time na akina mwajuma na uwaga sina muda kuongea, especially when it comes to nonsense hata hili sina muda hila kwa kuwa wengi hawanijui kama wewe na mafala wenye akili finyu kama wewe (truth be said) wameongea sana kwa uoga its about time to put fools where they belong nimemaliza. Utasikia im the sort that causes storm when im around, i dont choose to do it just happens and when im not to avoid, then trouble follows me.

Well, jembe(*****) for now im out but keep listening enough of this stupidity.
 
Seriously! mtapotezamuda wenu bora mkabebe mabox, kwani GOVNM`T YA W.D.C wao wataangalia report ya international observers ! na wala si ninyi mlioko huko Ambao hali halisi ya uchaguzi hamjaiona mmefanya kusikia. TENA kutoka upande MMOJA!

Hapana!!! You are wrong, hawapotezi muda hata kidogo, to the contrary watakuwa wamewapa mataifa ya nje mwanya wa kuielewa Tanzania! KUMEKUWEPO NA UNAFIKI MKUBWA SANA KUHUSU HALI HALISI YA DEMOKRASIA NCHINI, HATA TAKWIMU HUPIKWA KUWAAMINISHA MATAIFA MAKUBWA KUWA MAMBO YAKO SAWA. JK amekuwa akitumia laghai za takwimu kuwarubuni apate misaada ambayo ameshindwa kuitumia kuendeleza taifa. Kwa kuandamana, wenzetu wa WC DC watakuwa wamewashtua hawa wafadhili wa ufisadi huko Marekani na dunia nzima.

Bravo ndugu zangu! Ila kama ni maandamano ya amani yawe ya amani, na tafadhalini mliyapange vizuri ili yawe na makali! Hatuwezi kuchezea demokrasia hivi hivi, ni hatari kwa taifa na kwa amani ya nchi yetu! Tena msisahau kuwakumbushia wenzetu huko kuwa wenye Nchi hapa hututishia nyau tukionyesha dalili za kutoridhika, kwa kutulazimisha tukae kimya ili tunu aliyoiacha Mwl Nyerere ya Amani isitoweke! Yaani tukidai haki, wanatisha watafanya kitu mbaya na sisi ndio tutakuwa sababu ya hicho kitu!
 
Mandamano ya kupinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Mkuu Tanzania, kufanyika Washington DC, USA kesho Jumamosi, Nov 6 2010 , White House saa nne asubuhi.

Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu WA TANZANIA, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi zilivyofanywa na Tume ya Uchaguzi wa Tanzania ambao uligubikwa na wizi na udanganyifu mkubwa katika sehemu na maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa kuwa State Department imetoa ridhaa ya maandamano haya, tunawaomba Watanzania, wanayoipenda Tanzania, sehemu yoyote walipo hapa Washington DC, Maryland, Virginia na Pennsylvania wajitokeze kwa wingi mbele ya jengo jeupe l(White House), wake kwa waume, watoto na kumbuka kuja na bendera, mabango, ngoma, zeze na vinubi, Tshirts ili message ifike kwa Presedent Obama.

Tunawaomba Watanzania wote waishio Marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu na utawala wa mabavu na usiokuwa wa kisheria nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279, 240-645-2131
 
gogogoo
Junior Member

Join Date
Tue Nov 2010
Posts
1
Thanks
0
Thanked 2 Times in 1 PostRep Power
0

Mnajua mtu akipost post ya kwanza si kuwa alikuwa hafuatilii JF. Watu wengi sana wanasoma JF kila siku ila hawajajiunga tu na kupata access ya kupost. May be wasiojiunga ni wasomaji wazuri wa JF na wanamawazo mazuri zaidi kuliko wewe uliyejiunga.
 
Mandamano ya kupinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Mkuu Tanzania, kufanyika Washington DC, USA kesho Jumamosi, Nov 6 2010 , White House saa nne asubuhi.

Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu WA TANZANIA, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi zilivyofanywa na Tume ya Uchaguzi wa Tanzania ambao uligubikwa na wizi na udanganyifu mkubwa katika sehemu na maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa kuwa State Department imetoa ridhaa ya maandamano haya, tunawaomba Watanzania, wanayoipenda Tanzania, sehemu yoyote walipo hapa Washington DC, Maryland, Virginia na Pennsylvania wajitokeze kwa wingi mbele ya jengo jeupe l(White House), wake kwa waume, watoto na kumbuka kuja na bendera, mabango, ngoma, zeze na vinubi, Tshirts ili message ifike kwa Presedent Obama.

Tunawaomba Watanzania wote waishio Marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu na utawala wa mabavu na usiokuwa wa kisheria nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279, 240-645-2131

Interesting...

Mnawaamsha walio lala enhe...Mmesahau ni CCM ndio wenye uwezo wa kupitisha ama kutopitisha dual citizenship? Hivi mnajua mtazamo wa grassroot CCMs katika hili? Mnajua kuwa hao ndio ngome ya Jk na sio "wasomi" na "middle class" yenu?Mnajua sababu kubwa inayokwamisha suala hili miaka yote hii sasa na uhusika wa siasa za Zanzibar?
 
International Observers wamesema ELECTIONS WERE FREE AND FAIR

Watakaoandamana watajidhihirisha tu kuwa wamefikia mwisho wa upeo wao, na sio wana Demokrasia.

VOTE imepigwa, JK ashashinda, ameapa; na amepokea Salaam za pongezi from Obama, Cameron na other leaders, mbali ya wale waliokuja kwenye sherehe za kumuapisha

Unao ushahidi wa kutosha? Kwa sababu wazungu kuna EU, USA waliokuwepo bongo, unajua walichokisema?
 
Naunga mkono hoja ya maandamano! Za mwizi ni 40 lakini hizo hazifiki bila juhudi za kumtafuta huyo mwizi. Juhudi ni kwa njia zote. Hata vita hupiganwa kwa silaha, kelele na kwa diplomasia. Akina Bokasa, Mobutu na wengine wa aina hiyo hawakuondoka wenyewe tu; waliondolewa kwa njia za namna hiyo. Anzeni na sisi twaja kwa njia zetu
 
jamani hizi hoja za maandamano humu ndani sasa zimezidi

twendeni mbele, turudi nyuma,
mtujuze jamani tunasikia tu mandamano maandamano!! haya maandamano yanakibali au hayana, tujue kama hayana tubebe maji ya kunawa uso kabisa kabisa!!!! maana..............!!!!!!
 
big up brothers i hear you please advice people who are in uk wafanye hivi pia

UK? Are you serious ! of all the places you mean UK! Hapo Uk ndiko kuna matawi ya chama, hapo ndipo kuna watu wanajali matumbo yao na kusahau mamilioni ya ndugu zao wanaolala njaa TZ. Hapo Uk kama wataweza kuandamana mita 10, NASA watatangaza kupatwa kwa jua ghafla siku hiyo. Ukionglea Uk unaongelea kujipendekeza ili upate mradi wa matangazo, kukagua magari n.k.
Namshukuru mungu hakuna hata mmoja aliyekwenda kuwania ubunge aliyepata.
UK!! UK, ! hivi kuna sehemu ambayo ina diaspora vilaza kuliko Uk, please let me know if any!
Changamoto, Japan, Canada,France n.k tuungane na US kupinga matokeo ya kupanga. Hapa jamhuri ya kiribati ingawa ni mgeni wa wiki wakifanya nitashiriki.
Think out of the box, and leave Londoners alone, Uk! oh my God!
 
OBSERVERS WALIKUWEPO

SHERIA ZIMEFUATWA.

hao watakaoandamana watajidhihirisha kuwa ni wapinzani wa Demokrasia na hawaheshimu kura za watanzania wengi.

Demokrasia imemchagua JK
 
Back
Top Bottom