Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

Mpaka kieleweke.........
Tanzania itajengwa na watanzania wazalendo kama nyie na si wachakachuaji...
tutakuwepo....
 
:smile-big::A S angry: YANI MKINIFIKISHA HAPO NATAMANI HATA KUTAPIKA, ILA BASI TU INANIBIDI NIVUMILIE KWA SABABU NI DEMOKRASIA:smile-big: HEBU FIKIRI, HUKUPIGA!, HUKUFANYA KAMPENI YOYOTE, :doh: HUPO TANZANIA, HIVI NANI ALIEKWAMBIA FIMBO YA MBALI INAUWA NYOKA??? KAMA KWELI UNA UCHUNGU WA KWELI HEBU RUDI TANZANIA, JIKUSANYENI PALE JANGWANI AU KIDONGO CHEKUNDU, NA ANDAMANENI:smile-big: MAANA HUO MWALIKO WENU NI KAMA KELELE ZA CHURA NAVOONA:tape: SORRY LAKINI NI MTAZAMO WANGU APO

Yaani wewe ni kilaza kwelikweli, tena namba moja. Kwanza hao walioko marekani ni watanzania kama sisi. Halafu wamepiga kampeni kupitia njia mbalimbali za mawasiliano katika karne hii ya utandawazi. Akili zako zinafikiri zako na wewe mwenyewe unaishi kama uko karne ya 1.
 
Wakati mwingine zinasaidia maana kila akitembelea nchi za nje, atapambana na mabango ya kumpinga.

Huwa hawapendi saana maana wandishi wa habari wanaweza wakaanza kumshupalia.

Sijui kwa nini walitaka Lipumba awe wa pili. Ilitosha kabisa ashinde kwa asilimia hamsini na kitu na heshima yake iwe juu kuliko kutaka kulazimisha Prof. Kaka Lipumba awe wa pili na hili sasa inaonekana linawashinda. Huku kushinda kwa kishindo kutawatokea puani mweeee!!!!

Ngoja siye tuanze kilimo cha tumbaku tu huku Sikonge.
 
:smile-big::A S angry: YANI MKINIFIKISHA HAPO NATAMANI HATA KUTAPIKA, ILA BASI TU INANIBIDI NIVUMILIE KWA SABABU NI DEMOKRASIA:smile-big: HEBU FIKIRI, HUKUPIGA!, HUKUFANYA KAMPENI YOYOTE, :doh: HUPO TANZANIA, HIVI NANI ALIEKWAMBIA FIMBO YA MBALI INAUWA NYOKA??? KAMA KWELI UNA UCHUNGU WA KWELI HEBU RUDI TANZANIA, JIKUSANYENI PALE JANGWANI AU KIDONGO CHEKUNDU, NA ANDAMANENI:smile-big: MAANA HUO MWALIKO WENU NI KAMA KELELE ZA CHURA NAVOONA:tape: SORRY LAKINI NI MTAZAMO WANGU APO

Mwanamageuko usifikiri Dunia ya leo ni ileile ya mwaka 47, sasa hivi Dunia ni kama kijiji CCM ndo bado inabania watanzania walioko nje wasipige kura. Wanyarwanda waliweza ingawa CCM inawaponda kila kukicha eti hawaja komaa kidemokrasia, sisi demokrasia iko wapi kama wananchi walioko nje na wengine wako humu humu kama akina Mbatia walinyimwa haki yao ya kikatiba ya kupiga kura? Pia una waambia waje Jangwani ama Kidongo chekundu ili muwapige mabomu na muwamwagie maji ya upupu! Hawaji ngo' wataandamana huko huko kupeleka message kwa tunao ambiwa "wakubwa" ili wafikirie upya safari za Neo Vascoda Gama!
 
Heri yenu uko ughaibuni bse hakuna FFU.
Ila mkifanyia uko dunia itawasikia.
Mtu ata kama kajoin leo kama ana wazo zuri lazima tulisupport sio kama yale ya MS na sijui critics sijui critism
BIG UP MSG ITAKUWA DELIVERED
 
Hii kweli kali. Posti ya kwanza tu unatupiga mizinga ya maandamano.

what is the relation even if is his first posts? ur leaning to CCM Zakumi and u make ur self blind of what CCM is doing to us, now i got u, convinced ur CCM and ur beneficiary of it, enjoy but we, i repeat we never allow hawa mafisi watunyonye na kutuletea umaskini hivi, najua unafurahia, maana ur mgs tells me black & white how ur, 50 yrs now since independence, ila still tunatawaliwa na wakoloni CCM wabaya mara 100 heri mkoloni, wameturudisha nyuma, umaskini ndio balaa ww unaongee tu upupu, keep it up man, tutaona, we are highly concern, tuliopata elimu tutaiondoa madarakani CCM, believe me, tutatawanyika nchi nzima na kupiga kampeni, bungeni kila mahala utaona nini maana ya usomi, ww unapinga hata kibaya, haturudi nyuma utaona, ur such a crook too
 
Gharama ya demokrasia si ndogo. Na ukombozi wa kweli hauwezi kupatikana kwa vikao vya jikoni. Udhalimu katika serikali dhalimu unapaswa kuondolewa kwa udhalimu. Hapa sisemi dawa ya moto ni moto, hasha, bali dawa ya moto ni maji. Ukiwaka maji huuzima. Tusiwe vuguvugu, ila twaweza kuwa motomoto, ili hata walaji waskie radha yake. Laana ya dhalimu ni kupanda mbegu ya uangamizi wake mwenyewe.Maandamano ni kielelezo cha hisia yaweza kuwa thabiti au la, lakini inayofikisha ujumbe wa kukubaliana au kutokubaliana juu ya jambo fulani. Mvaa kiatu ndiye anajua kiatu kinambana wapi!!!!!
 
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.

Hahahah! Hii ni poa sana!

IGP Mwema, ZUIA maandamano haya, kama UNAWEZA. Una jurisdiction Bongo tu, nje ya Bongo HUNA CHAKO!

Sasa hii itakua na wider international impact! Hata CNN watafanya coverage! Aibu tosha kwa JK na wenzake!

Imekula kwao!

Hahahaha!

-> Mwana wa Haki
 
:smile-big::A S angry: YANI MKINIFIKISHA HAPO NATAMANI HATA KUTAPIKA, ILA BASI TU INANIBIDI NIVUMILIE KWA SABABU NI DEMOKRASIA:smile-big: HEBU FIKIRI, HUKUPIGA!, HUKUFANYA KAMPENI YOYOTE, :doh: HUPO TANZANIA, HIVI NANI ALIEKWAMBIA FIMBO YA MBALI INAUWA NYOKA??? KAMA KWELI UNA UCHUNGU WA KWELI HEBU RUDI TANZANIA, JIKUSANYENI PALE JANGWANI AU KIDONGO CHEKUNDU, NA ANDAMANENI:smile-big: MAANA HUO MWALIKO WENU NI KAMA KELELE ZA CHURA NAVOONA:tape: SORRY LAKINI NI MTAZAMO WANGU APO

Point less !!!!! Unapo kwenda kupambana kwenye vita huvai military army helment kwenye uwanja wa mapambano bali unajiandaa kule ulikoiweka kambi yako..! Wakati Osama anaishambulia Marekani nadhani yeye hakuwepo Marekani..!!!! Demokrasia inatafutwa mahali popote na kwa umbali wowote.!! Hata ndugu zetu wa Afrika ya kusini kipindi hicho cha ukombozi waliitumia Tanzania kama nchi na makao yao ya kupanga mikakati ya kuweza kuwatoa mafashisti wakina Frederik Willem de Klerk!!

Naifananishe serikali yetu ya sasa na utawala wa kinazi usio na tofauti yoyote na ule wa kikaburu uliokuwepo kule Afrika ya kusini.!!! Ni utawala wa wachache wenye kujipenda wenyewe!!! Mbaya zaidi serikali yetu imetujengea woga na vitisho vya neno UVUNJAJI WA AMANI !!.

Naunga mkono jambo hilo la maandamano ya amani kwani ni la busara zaidi na lenye kuweza kuzaa matunda zaidi likifanyika huko USA tofauti na ambavyo lingefanyika Tanzania ambapo matokeo na matunda yake ni kupigwa mabomu na kumwagiwa maji washa washa!!!

Acheni mzaha ndugu zangu!!!!!

Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.

Mkuu mimi nakubaliana na nyinyi kabisa kinachotakiwa n9i kuwa kwanza na details zote kuhusu uchaguzi ulivyofanyika baada ya haponi mziki kuuanzisha
 
:smile-big::A S angry: YANI MKINIFIKISHA HAPO NATAMANI HATA KUTAPIKA, ILA BASI TU INANIBIDI NIVUMILIE KWA SABABU NI DEMOKRASIA:smile-big: HEBU FIKIRI, HUKUPIGA!, HUKUFANYA KAMPENI YOYOTE, :doh: HUPO TANZANIA, HIVI NANI ALIEKWAMBIA FIMBO YA MBALI INAUWA NYOKA??? KAMA KWELI UNA UCHUNGU WA KWELI HEBU RUDI TANZANIA, JIKUSANYENI PALE JANGWANI AU KIDONGO CHEKUNDU, NA ANDAMANENI:smile-big: MAANA HUO MWALIKO WENU NI KAMA KELELE ZA CHURA NAVOONA:tape: SORRY LAKINI NI MTAZAMO WANGU APO

wewe JK anavyoenda kila siku kuomba misaada ile hela kaikusanya yeye?? umemaliza shule za kata nini
 
zubeda, hata kama mmeshinda, kumbuka "still i love you". :a s-rose:

mwongo wee, yaani unaanza kunipenda baada ya kuona tunashinda!!!! Samahani mimi nna wangu nimpendae na kamwe sidanganyiki kama yule first lady hewa wa chadema alieamua kumkimbia mumewe na kujipachika kwa rais kivuli!!!!
 
Kuna mtu mmoja alisemaga "In Africa elections are never fair unless the opposition wins." yani kwa maana Africa upinzani ukishindwa basi uchaguzi automatically haukuwa huru na wa haki. Wakuu in democracy it is the most popular candidate that wins. That candidate can be the best choice or not but in short it's a popularity contest.

Watu mbali mbali mpaka humu ndani ya JF walisema CCM ni lazima ikubali matokeo. Mimi nikawa nauliza mbali mbali je wapinzani na mashabiki wake wata kuwa tayari na wao kupokea matokeo? Leo hii Usalama wa Taifa umesema hakukua na foul yoyote. UWT sasa una pondwa na watu wengi kwa kauli hiyo lakini ni humu humu JF ambapo kuna watu walikua wanasema UWT kuna viongozi wa juu wapo loyal na wana taka kumuona Slaa akishinda. Je hao wasinge kitokeza kama kunge kuwa na dosari zozote?
 
Dr. Slaa ametoa barua ya Kabwe. Na tovuti ya NEC imeonyesha matokea ya rais vituo viwili yanafanana vilevile kwa wagombea wote wa urais. Kiravu amekiri kuwa walichakachua. Yeye anasema walikosea kusoma. Lakini kama walikosea kusoma kwa nini wakakosea na kuandika kwenye tovuti? Huo ni ushahidi wa wazi jinzi NEC, CCM na JK wasivyokosa aibu kuchakachua mchana kweupe. Waandamaji tengenezeni mabango makubwa yenye barua ta Kabwe na matokeo yaliyosomwa na kuondikwa na NEC ya GEITA na NYANG'HWALE. Safi sana watu wa USA, Mwende hadi kwa Obama na ubalozi wa Tanzania. Msisahau kuwashirikisha CNN na vyombo vingine vya habari, Aibu CCM, NEC, JK. LOOO!

-----------------------------------
YES WE CAN...!

..and here are the dubious and corrupted results fro just Two Constituencies, leaving aside the ride all over our mother land! Ohh God help!

Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa:

matokeo yaliyotangazwa na NEC

.................................MZIRAY ...KIKWETE ...SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total

GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037

Shame!! shame!!...God forbid!
 
Mkuu, hongera sana kwa wazo lako zuri... Ngoja ni wapigie ndugu zangu walioko DC niwajulishe juu ya maandamano haya, hope wata wakusanya na wengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom