trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 722
- 1,344
Nyie hata point muwe sawa na wale nafasi za juu ,kwa mpira wenu wa janja janja mtapotea
Mmeshinda mechi 3 ,against mid teams halafu zimewasumbua Sana, kama luton
Magoli ya dakika za mwisho
Huyo Luton kawaulize liverkuku ilikuaje