Moto wanao wapelekea Everton, lazima mteme bungo mdomoni

Nini Cha kufanya, kabla hajatafutwa mchawi Nani
Muingize defensive au box to box middle, atoke martial alafu rashford acheze Kama namba tisa
Mtumie winger moja ambae ni ganarcho

Tofauti na hapo, Soma Aya ya kwanza
 
Garnacho kapiga bonge moja la goal

Hio migoli ya namna hio hua inanifanya niwe namkumbuka Wayne Rooney.
Ila timu letu bwana dakika 10 tu za mwanzo ndio walau hua tunacheza mpira unaonekana ila baada ya hapo ni mwendo wa kuzitia phumbu kabali.
Ila leo naona dakika zimeongezeka kidogo, tumecheza mpira wa kueleweka kwa dakika 20 za mwanzo, kipindi cha pili sijui hata hali itakuwaje maana michezaji yetu ikiwa inaongoza kwa goli moja huona tayari kazi waliyotumwa uwanjani wameshaikamilisha wanaanza kurelax.
 
Kukatwa kwa points, Everton wanaenda kuwa hatari sana kwa yoyote atakae simama mbele yake Hadi atoke Kule chini ndio atarudi kwenye default yake

Wekeni mido mwingine ili mpira uwe unachezwa Sana pale Kati
Ua winger moja, toa martial then rashford akacheze Kama false 9
 
Back
Top Bottom