Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Kwa wewe uliyemjua Bruno juzi, utasema wa vimechi viwili viatu, kwa sisi wengine tunaomjua he has been almost for 3 years the best in his position
Hendo captain takataka wa timu iliyobingwa na kulambwa goli 4, hawezi kuwa hata kiungo bora pale Sheffield United, he is just a luck guy who happen to play for Liverpool this season
On Greenwood, hakuna shabiki wa Man Utd ambaye amewahi kumponda huyo dogo kwenye suala la uwezo wake, only concern iliyopo ni kijana mdogo na kumpa majukumu makubwa kwa wakati mwingine ni risk...
Of course Greenwood is a wonder kid, Greenwood is a wonder kid, kwenye vibanda umiza vyetu huku hadi mashabiki wa Arsenal, Chelsea, Liverpool wanamkubali, nadhani hapa duniani ni wewe tu unayempuuza

Umeona namtaja au tunamtaja japo ndo captain aliyeongoza timu kubeba EPL? ... mtu akicheza vimechi vitatu tu hypes kama zote. Saa hii naona mshaanza mlamba nyayo Greenwood mliyekuwa mnamsema ni mtoto nyoronyoro. Akienda vimechi vitatu mtasema the best wonderkid