EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,537
Endelea kuota mkuu KING LEO+ SUARES+ JEZI 11Hii ni kwa sababu enzi za timu kutoka Laliga Santander kutamba Zimekwisha, Ukiangalia kwa umakini ubutu wa safu ya ulinzi ya Barca na ukali wa washambuliaji wa Man U wakiongozwa na Marcus utagundua kwamba Barcelona haitoki nje ndani.
Ni suala la kusubiri tu .
HAMPINDUI
Sent using Jamii Forums mobile app