Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Hahahahaha
Kwa mazingira ya sasa hivi unaweza ukajikuta inabidi uchague moja kati ya hayo 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mazingira ya sasa hivi unaweza ukajikuta inabidi uchague moja kati ya hayo 2
kushinda quadruple sio kazi rahisi aise.
Kwenye kuchagua kati ya City quadruple na liverpool epl title, hili swali ni gumu kwa United fan. Kwa upande wangu ni bora wote wakose.
Sent using simu mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app