Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,883
- 10,193
Naijua EPL vizuri ndio maana bado nilikuwa na matumaini kuna timu zikishafungwa mechi moja ndio zinapotea kabisa.Hiki ni kipindi ambacho key players wakipata majeruhi timu inaweza kupotea kabisa.Nililisema hilo mlipokua mmechafuana ktk Uzi wenu huu
Chelsea na Utd ndio wako Na fixtures nzuri December hii.
Arsenal-CB wao Mustafi ameumia na atarudi mwakani na next week wana game na Man City
Man City-Aguero na Fernandinho bado wamefungiwa
Liverpool-Coutinho anarudi mwakani,hawajashinda game 2 mfululizo na Mane ataondoka January