26a76c2602ad3d1f3626531c74cd1e37.jpg
 
Henrikh Mkhitaryan na Michael Carrick ni wachezaji ambao wanaifanya United ibadilike recently. Dhidi ya Palace Mikhi hatakuwepo...na Carrick sidhani kama ana uwezo wa kucheza game 2 tough ndani ya siku 3 kwa kiwango kizuri. Ndio maana napata sana mashaka na hii game ya jumatano
Ucipate shaka utatoboa tu mkuu
 
nimsifu Mourhino kwa kutengeneza Ukuta mgumu,huyu Rojo naye anasifa za kuwa beki Katili Kane jana nusu aombe msamaha kwa Rojo,Beki,Viungo kwa sasa sio tatizo tuongeze nguvu tu kwa sasa kwenye forward.
 
Tatizo ni mfumo wa mbele tu,kumuweka forward mmoja timu inakosa umakini
 
Back
Top Bottom