DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,859
- 117,969
Unajua kuna vitu basics wachezaji wanashindwa kufanya mpaka nashindwa kuelewa.These guys are uncoacheable.
Ukiangalia mechi za liverpool, arsenal, man city.
Baadae ukigeuza macho kwetu ni dunia mbili tofauti