Ole please stay..don't let these frustrated Zebras distract your mission of destroying Manchester United 🤪

It's enough for today, let's meet in champions night
 
ndio leicester city ni wajinga kwa mujibu wa matokeo ya mechi zao ukitoa hii ya leo, tokea ligi ianze hii ni mechi ya pili kushinda.
ujinga wa leicester si upumbavu wa Ole
  1. leicester city wametoa draw dhidi ya crystal palace
  2. wametoa draw dhidi ya burnley
  3. kafungwa europe league
  4. kafungwa na brighton
  5. katoa draw dhidi ya napoli
  6. kafungwa dhidi ya man city
  7. kamfunga norwich
  8. kafungwa na west ham
Hatuna Kocha
 
nimenusa harufu ya vita kati ya baba na mtoto, tukumbuke paul hajasaini kandarasi mpya.
isije ikawa kauli ya labile ndio mtazamo wa wachezaji walio wengi, kama ni hivyo Ole atakatwa kichwa chake kabla ya december
1634402846130.png

1634402969372.png
 
Tukisema kuhusu ubovu wa kocha tunaitwa plastic fans,lakini kwa hali hii kama Ole ataendelea kubwa kocha wa MAN U tutakuja kushituka wakati ambapo tumeshakuwa kama Newcastle, Tottenham na team nyingine ambazo zilikuwa babe zamani ila sasa zimebaki historia.

Itafika muda tutakuja hi team ya kuleta challenge tu kwenye league na sio kuwanis ubingwa.

Hii schedule ya October-November ilivyokaa,kama Ole atapona basi hatawahi kufukuzwa kwenye siku za hivi karibuni.
Mfano ikatokea akashinda zote itakuaje?
 
Back
Top Bottom