Europa Legue Je Van Gaal Kamfunga Liverpool Mechi Ngapi??
Unachojua wewe ni Personal Attack dhini Ya Mashabiki Wa Liverpool na si Jengine.
Haya Maneno Yako Yatunze Mpaka Tarehe 17/10 ili uyashuhudie Kama Yale Yaliyomtokea SAF ndani Ya OT Siku Ya Jumamosi March 14, 2009.
Heroes Walikuwa:-
1) Torres
2) Gerrald
3) Aurelio
4) Dosena
Sasa Kama Hawa Ni Genge La Wahuni! Basi Jiandae Tena Kukumbana na Wahuni.

manchester united wapi na wapi na ueropa hapa tunazungumzia epl unaleta habar za europa bingwa sevilla wewe ndo uwe na akiba ya maneno nani kakufuata kwenye jukwaa lako kuleta habar za uchambuz uchwara siku hizi game ya liverpool na manchester united sio big game tena kutokana na viwango na mwenendo wa liverpool big game ishahamia kwa city na united hata liverpool akimfunga united poa tu hakuna tatizo ni sawa na watford or midtjailland kuna jamaa kakuuliza jukwa la liverpool limehamia huku? mana hakuna hata mtu mmoja anaehangaika na liver ila wewe unaweweseka why???

onesha wapi nimetoa personal attack kwa mashabik wa liverpool ktk post zangu zote ila wewe ndo unaleta hayo mashambuliz hasa kwa kumuata attack pogba as if pogba yupo peke yake uwanjani na hakuna epl timu zilizo ktk top four ukazifunga zote huenda huyo chelsea na arsenal wakakugeukia bado nakupa ushaur kuwa na akiba ya maneno mizuka mibaya uliyo nayo
 
Mkuu kwann unahangaika na huyu mshikaji???

He knows nothing, kakomalia na europa aliotupiga kasahau anfield saiz wanapaita juanfield goli mbili za mata na zile sekunde mbili alizocheza Gerald wake,

van gaal kakaa misimu miwili game nne za ligi + 2 europa =6 games muulize kashinda mara ngapi???
 
hahahahhahhha jamaa ana mizuka ya ajabu sana anakuja kichwa kichwa et tunawafunga kama wenzenu amesahau ligi iliyoisha mancheater united ya van gal ktk timu zilizopo top hakuchukua point tatu tu kwa chelsea mechi ziliisha droo arsenal walitupiga na sisi tukawapiga spurs alitupiga na sisi tulimpiga lakin livepool alichukua point 6 man city point 4
 
Wakuu...mnahangaika..nao..bure....tu..hao..!!.
 
Sijawahi kuwa mpenzi wa soka ila kwa sasa nahisi naanza kuwa interersted na hili suala....naomaba mnishawishi niwe shabiki namba moja wa Man U.....
 
Utakushawishi ubao wa matokeo kila wikiend Man U inapocheza na sio sisi....
Ivi na mpaka kuja kuweka coment humu umefikiria nini......
We tayari ni fan wa Man U naamin umeziona thread nyingine za timu ila ukapotezea na kuja kukoment humu
 
Ntajitahidi niifahamu zaidi ili twende sawa.
 
Sijawahi kuwa mpenzi wa soka ila kwa sasa nahisi naanza kuwa interersted na hili suala....naomaba mnishawishi niwe shabiki namba moja wa Man U.....
hatua ya kwanza soma utangulizi wa huu uzi hapo juu!!! kwa kifupi kwa sasa tupo kwenye transition period baada ya ferguson kuondoka na ndio maana utaona tunasua sua!!

The point is... huu ni upepo tu na unapita... na chini ya mou kuna mengi mazuri yaja!!!

karib united... we are united and united we stand... forever
 
1474896828076.jpg
 
Ok nimeshaingia...
 
‘My greatest challenge is not what’s happening at the moment, my greatest challenge was knocking Liverpool right off their f***ing perch. And you can print that.’ fergie words man utd hatupendag ujinga wen ts come to Liverpool
 
Back
Top Bottom