Karibu sanaHabari wakuu!! Nilipotea humu si kwa makusudi ramani tu za maisha zilitenga na soka, Poleni sana wanaunited wenzangu kwa kipindi kizito tulichopitia aiseee ilikuwa job true true!!!anyway yalishapita tusonge mbele.....
Pia niwapongeze wote kwa ushindi wa Leicester city,pamoja tutafika tu mdogo mdogo....... GGMU
Habari wakuu!! Nilipotea humu si kwa makusudi/vipigo ila ni ramani tu za maisha zilinitenga na soka, Poleni sana wanaunited wenzangu kwa kipindi kizito tulichopitia aiseee ilikuwa job true true!!!anyway yalishapita tusonge mbele.....
Pia niwapongeze wote kwa ushindi wa Leicester city,pamoja tutafika tu mdogo mdogo....... GGMU
Asanteni sanaKaribu sana
Karbu tena Everlenk.
Na dada yako....Hivi leo watani mnacheza na nani?
Na dada yako....
Tunaua za kutosha.Jamani leo vipi tunaua nataka kuweka mzigo
Umesikia wapi?Nasikia Rooney atacheza leo... Nasubiri kusikia lawama to Rooney.
Jamani mechi saa ngapi....samahan kwa usumbufu..
Dah muda huo nakuwa naota....hii mechi itanipita.....Saa nne na dakika 5 usiku
Dah muda huo nakuwa naota....hii mechi itanipita.....
You will swallow your words... just wait and see‘My greatest challenge is not what’s happening at the moment, my greatest challenge was knocking Liverpool right off their f***ing perch. And you can print that.’ fergie words man utd hatupendag ujinga wen ts come to Liverpool