Erick Bailley kuwa mchezaji wa kwanza kusainiwa na Mourinho.

Mchezaji huyo anayeichezea Villarreal ya Hispania inasemekana amefudhu vipimo vya afya hapa OT na tayari Man washakubaliana ada ya uhamisho wake ambayo inasemekana kufikia £30 Ml.

#Mou na Spirit ya wachezaji Weusi especially toka Africa#

BACK TANGANYIKA
 
CCBB26E85052403E8BC4AEC5AE6C0562.ashx

Manchester United is delighted to announce that Eric Bertrand Bailly has completed his transfer from Villarreal CF, subject to successfully obtaining a work permit. Eric joins on a four-year contract with the option to extend for a further two years.
 
Karibu Eric OT japo sijawahi kukuona uwanjani...

Kuna clip moja inasambaa kwa kasi sana FB nimejaribu kuinyofoa nimeshindwa.!!

Kama una account Fb sach jina la Ackbely Mbyellah jamaa kaishare Utaona. Kifupi Dogo yuko vizuri sana. Ni namba nne bomba kabisaaa, Hii itakuwa Bonge la Combination sambamba na Smalling.

Ukuta huu ninaimani utafikia kiwango cha ukuta wa VIDIC NA FERDINAND enzi za Babu.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom