Safii sana namtakia Heri zote akang'ae zaidi ,nimeona pia Bastian naye yupo kwenye Squad ya Germany.Hatimae Rashford kaitwa euro kwenye kikosi cha england
Rashford 2016Safii sana namtakia Heri zote akang'ae zaidi ,nimeona pia Bastian naye yupo kwenye Squad ya Germany.
Dogo yupo vizuriRashford 2016
United under 18 s
United under 19 s
United under 21s
United
England
What a story!!!
Monch mzur...sema anavumbua vipaji visivyojulikana..mancs na madrid wanataka superstar..sidhan kama wanahitaj monch kwa sasaMonchi angefanya vizuri sana United kama mngekuwa na managers kama Simeone, Emery, Poch, Aleggri and even Conte. Lakini chini ya Mourinho i doubt kama kutakuwa na mafanikio sana coz Monchi is not a fan of "big money signings" contrary to Mourinho.
Nadhan baada ya kuchua ubingwa pale Chelsea last season, Mourinho akaona hakuna haja na kuongeza zaid wachezaji wa maana zaidi ya squad players, mwenyewe alinukuliwa akisema Kikosi chake kipo imara na hakihitaji nyongeza ya Top class players, ndo maana ile summer wakaamua zaidi kubase na squad players (2nd and 3rd choice players,) Pedro, Baba, Begovic, etc.
Lakin kwa hapo United na katika msimu wake wa kwanza ni Lazima he will go for big money signings, na kukosekana kwa UCL kunamaanisha Power ya United katika Pesa ndiyo itatumika zaidi, so expect 2-4 big signings summer hii..so idea ya Monchi haingii hapo, anaamini sana katika projects, ukinambia ataenda wapi kati ya Madrid na United, my bet itakuwa Real madrid, coz expectations ni ndogo kuliko United, Mou sidhani kama atahitaji "project signings".. na kama atataka kufanya biashara na Sevilla basi ni kwa ajili ya Krycho ambaye he wont leave for Cheap, wakat Monchi atakwambia kuna kina Krycho wengine kwenye league za Serbia, poland etc..
Huyu dogo atajiunga na timu ya kina Macheda, James Wilson, Ballion , Bebe muda si mrefu.Wenye kumbukumbu ya soka mnajua kilichowatokea .Hatimae Rashford kaitwa euro kwenye kikosi cha england
Huyu dogo atajiunga na timu ya kina Macheda, James Wilson, Ballion , Bebe muda si mrefu.Wenye kumbukumbu ya soka mnajua kilichowatokea .
Apate muda wa kucheza na pia muda wa kupumzika kumbuka Liverpool walivyomfuja Owen.Dogo yupo vizuri
ahahahha becoming what mkuu? tuendelee kuvuta subraCongratulations to Manchester United fan Michael Bisping on becoming the first UFC champion from the UK
Vipi mkuu Shida nini? Au ulitaka niandike middle weightahahahha becoming what mkuu? tuendelee kuvuta subra
Mimi nme muona hizo mbiliBailly nilisha muona mara chache sana AFCON na kwenye ile game vs Liverpool ni strong ana pace pia ni mwepesi sana kuusoma mchezo
Kama Kuna anaemjua vizuri please
Huyu dogo atajiunga na timu ya kina Macheda, James Wilson, Ballion , Bebe muda si mrefu.Wenye kumbukumbu ya soka mnajua kilichowatokea .
Jose ana furaha sana kuwa kocha wa United, naona kwake kapiga nembo kubwa kabsa ya timu yetu, we should support this manager