IT PROFESSIONAL
JF-Expert Member
- Mar 17, 2016
- 228
- 95
Du mzee anafaidi sana
Ni habari yangu tu nimewaletea...Kama unaona inawezekana.Umeipata kwenye tovuti gani, au ni habari yako umetuletea
Bora umeuliza maana hao wanaonekana wa'thai' na sio wahindiUmeipata kwenye tovuti gani, au ni habari yako umetuletea
Unawajua Wa thailand?Bora umeuliza maana hao wanaonekana wa'thai' na sio wahindi
Hii habari nimeitoa Dail Mail...Uzuri kumbe humu ilishakuwepo hebu shuka kule chini angalia Simiral threads utaiona hii habari ....Pengine Vyanzo ndio vimetupotosha.ila hao chini walioshika kuku sio wa hindi mkuu..