Man with 39 wives, 94 children wants to have more

Mzee anakula nyap si mchezo ....kwa hiyo kila sku lazima ato.......ne.....hahaha... anafaidi sana
 
Huyu baba Ana administration skills ambazo Mimi ni wewe hatuoni ndani.

Mke mmoja tu lakini kutwa nzima kulalama JF.

Jamaa Ana hao wote lakini kilio chake anasema ' I am blessed' dah!

Makampuni ya kimataifa mchukueni huyu jamaa kumanage staff wenu. It's extra ordinary.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom