Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 23,258
- 20,873
......
......human evolution
......human evolution
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Lazaro Mambosasa amesema walimkamata mwanafunzi Kumbusho Dawson baada ya kusambaza uzushi kwenye mtandao,
Kamanda ameelezea kama mwanafunzi huyo angekuwa na taarifa yoyote basi angeipeleka kwa mkandarsi wa majengo au mmiliki wa majengo hayo
Mtu aliyekuwa alalamike ni mmiliki wa majengo hayo na sio yeye
Pia amesema ameshangaa watu kulalamika na kupokea usumbufu mkubwa kwa jambo hilo wakati kuna maghorofa makubwa hapa Dar yalishaanguka na kuumiza watu lakini hakuna watu hawakuonyesha kuvutika kama ilivyokuwa kwa jambo hili
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Lazaro Mambosasa amesema walimkamata mwanafunzi Kumbusho Dawson baada ya kusambaza uzushi kwenye mtandao,
Kamanda ameelezea kama mwanafunzi huyo angekuwa na taarifa yoyote basi angeipeleka kwa mkandarsi wa majengo au mmiliki wa majengo hayo
Mtu aliyekuwa alalamike ni mmiliki wa majengo hayo na sio yeye
Pia amesema ameshangaa watu kulalamika na kupokea usumbufu mkubwa kwa jambo hilo wakati kuna maghorofa makubwa hapa Dar yalishaanguka na kuumiza watu lakini hakuna watu hawakuonyesha kuvutika kama ilivyokuwa kwa jambo hili
Crack za kawaida upo udsm apa ww au unaongea tu kutuletea ujingawenu na vyama vyenu watutunakaa hapa atuongei ila ww kiherehere ata ujapaonaNi kachochezi ka chadema.. kamata tu tupa ndani. Kametengeneza hizo picha ionekana kama mahandaki kumbe ni crack tu za kawaida.
Viongozi wengi walio chini ya magufuli ukikaa na kuwaza sometimes unaweza sema hawa jamaa hawana ubongo kabisa coz reasoning yao ni ya chini sanaKubwa zima linafuka pumba kiasi hiki.
Kwani ubovu wa hilo jengo madhara watayapata wanaoishi humo au mmiliki wa jengo?
yaan watu wanaishi kwenye jengo ambalo ni hatari kwa maisha yao wakae kimya...
Eti UZUSHI kwa hiyo jengo halina nyufa??
Ha ha ha kajikamatishaMmh,Nimevutiwamno na hili "Hakuna Polisi anayevaa mask na kupiga watu"
Bravo sana respect wa bodaHivi mtu mzima na akili timamu, mwenye watoto pengine na wajukuu.. unasimama mbele ya kamera za Waandishi wa habari kutetea upuuzi kama huu...!!
Ni kitu gani kimewakumba watu hawa... Inasemwa siku zote mtu mwenye taarifa za ujambazi azitoe iwe police au public... Kijana huyo kutumia hadhira kufikisha taarifa ambazo yamkini watu wa kwanza kudhulika endapo maafa yangetokea ni wao wanafunzi.... we unataka mwenye nyumba alalamike..na mwenye nyumba hakai hapo..!! Epushia mbali ukweli kwamba yeye tayari anamaslahi na jengo hilo ambapo haiwezekani akatoa taarifa mbaya zirakazosababisha kukimbiwa na wapangaji..!!
Ukweli mdogo kama huu ni kweli Mambosasa sasa anashindwa kuuona? Jamani cheo cha Kamishina mbona ni kikubwa kuliko huu utetezi wa Mambosasa... Nini kimewakumba police???
BACK TANGANYIKA
Jamani tuiunge serikali yetu mkono, wameshasema hizo ni expansion jointUzushi wakati TBA wamekubali ni joints expansion tu uzushi gani sasa
huyu ana leaving certificate tu, mtu mwenye D mbili hawezi fikiri kipuuzi namna hii?no wonder why they used to recruit form four failure in our police force
Uko sahihi mkuu ila naomba nikusahihishe sehemu moja tu, Jengo likiexpand waliomo wanatakiwa kushrink.Jamani tuiunge serikali yetu mkono, wameshasema hizo ni expansion joint
Hakuna haja yakuwa wapinzani
nahisi hata walioko ndani ya hilo jengo wajiandae kuexpand
Kaachiwa tayariWangemwachia tu bana..
Sasa ni uzushi gani uliosambazwa hapo? Manake uzushi ni uongo.
Kilicho cha uongo kwenye hizo nyufa za hayo majengo ni nini au ni kipi?
Yaani hawa watu bana! Hivi huwa hata hawajistukii juu ya hizo pumba wazitoazo?
Foolish....
Hahah hapo ngoma droo ... Hahaha wakishindwa kushrink naomba watafute pinUko sahihi mkuu ila naomba nikusahihishe sehemu moja tu, Jengo likiexpand waliomo wanatakiwa kushrink.