ha ha ha... Umeona eeh!Ni michezo baada ya shibe, kawaida wa dada hupenda kukamata "vitendea kazi" vya wanaume kwenye matimbwili. Na ukiangalia mikono ya mdada imeshika kiuno cha jamaa .........., badala ya ku-mtait hapo "ikulu"
huyo mdada ka anasema we niangushage tu si dhambi zako mwenyeweNikimbize uniangushe tumalize mchezo