Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
- Thread starter
- #41
Watu wazima wawili "wanapozungumza" ni vizuri kupeana nafasi ya kila mtu atie neno japo kwa dakika chache inaposhindikana basi mmoja huona mazungumzo yale yamekuwa ya upande mmoja na hivyo kupoteza maana
Nakubaliana na wewe BAK,
Ila ni mara kibao, ukijaribu kuwa msikilizaji unaambiwa hautoi attention kwa anayosema au haumsikilizi....!!
Halafu ikitokea akaongea vitu usivyovutiwa navyo ukakaushia, kesi yake usipime. Na wakati huo huo wewe ukiongea vitu ambavyo havipendi unaweza ama kushushuliwa au mtu akaanza kufanya mambo yake mengine kama vile hayupo au hayko pamoja na wewe...Unaishia kusahangaa wewe umekomaa kupiga story, ila yeye anacheza game kwenye simu!!
Kazi kweli kweli!!
Babu DC!!
Last edited by a moderator: