Mambo ya ndoa: Je, ni kweli wanawake walio kwenye ndoa wanaongea sana kuliko wanaume???

@Kongosho...Nawaonea huruma kwa kweli leo wamenyang'anywa tonge mdomoni maana kulikuwa na kila dalili za kushinda mechi ile. Refa kama huyu wa leo anastahili kabisa kufungiwa kwa maamuzi yaliyojaa upendeleo. Wangepata 3 points wangeondoka mkiani.

sababu ni nyingi sana zinazowafanya waongee kulingana na walivyo.
'gossip' na 'talking' gland ni kubwa.

Hushangai na wanamme nao 'ngono' gland ni reletively kubwa ukilinganisha na a wanawake.

Note: poleni wale wa bwawa la maini, point 2 kati ya mechi 5?
 
Mi siko kwenye ndoa, lakini najaribu kufikiria kwamba hao wanawake wanaopiga makelele kwa waume zao WANA SABABU za msingi.. Wao sio vichaa mpaka waanze kubwatuka bwatuka hovyo...!

Nimekuelewa ndugu yangu neylu,


Hapa tunajaribu kupata maoni kama kweli (under normal conditions) wanawake wanaongea zaidi ya wanaume? Kama ni suala la sababu, tunaweza kulipokea kama uzoefu wako. Kwa hiyo unaweza kumwaga vitu hapa ili tupate shule.

Kwenye ile makala niliyorejea kwenye post #1, kuna mahali huyo mwanaume alieyetoa ushuhuda alisema hivi,

"Nikiwa nyumbani kwanza naombwa hela kila wakati, lakini pia ananifanya mimi mwanamke mwenzie. Maneno yote ya mtaani ananihadithia hata yasiyohusu....nikikaa kimya analalamika namdharau"!

Umeona kuwa hawa hawana ugomvi?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Slide5.JPG

Mimi siwezi kuwaongelea wanawake wengine lakini mimi si muongeaji but as jinsi kwa wanawake inavyosemwa kuwa kuongea ni defensive mechanism na wanaume kiburi chao cha kutoongea ni the same it doesn't mean wana busara
 
Pole lakini machungu yako ni furaha yangu.............................


Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Kumbe wewe Elizabeth Dominic ulidhani mie ni Liva??

Mie ni mshabiki tu ninayetafuta Burudani...Ingawa niwe mkweli kwamba hata siku moja sijawahi kuwapenda hao jamaa zako!!

Wewe leo umeongea maneno mangapi na kwa nini?


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Absolutely true! Tena husiombe kukutana na wale wembamba wanauwezo wakuongea 24/7.
 
Women talk three times as much as men, says study

By FIONA MACRAE
Last updated at 13:39 28 November 2006

phoneREX271106_228x343.jpg

Women talk almost three times as much as men, according to the research.


It is something one half of the population has long suspected - and the other half always vocally denied. Women really do talk more than men.
In fact, women talk almost three times as much as men, with the average woman chalking up 20,000 words in a day - 13,000 more than the average man.

Women also speak more quickly, devote more brainpower to chit-chat - and actually get a buzz out of hearing their own voices, a new book suggests.
The book - written by a female psychiatrist - says that inherent differences between the male and female brain explain why women are naturally more talkative than men.

In The Female Mind, Dr Luan Brizendine says women devote more brain cells to talking than men.
And, if that wasn't enough, the simple act of talking triggers a flood of brain chemicals which give women a rush similar to that felt by heroin addicts when they get a high. (Mhhhh)

Dr Brizendine, a self-proclaimed feminist, says the differences can be traced back to the womb, where the sex hormone testosterone moulds the developing male brain.

The areas responsible for communication, emotion and memory are all pared back the unborn baby boy.

The result is that boys - and men - chat less than their female counterparts and struggle to express their emotions to the same extent.
"Women have an eight-lane superhighway for processing emotion, while men have a small country road," (Mhhhh!) said Dr Brizendine, who runs a female "mood and hormone" clinic in San Francisco.

There are, however, advantages to being the strong, silent type. Dr Brizendine explains that testosterone also reduces the size of the section of the brain involved in hearing - allowing men to become "deaf" to the most logical of arguments put forward by their wives and girlfriends.
But what the male brain may lack in converstation and emotion, they more than make up with in their ability to think about sex.

Dr Brizendine says the brain's "sex processor" - the areas responsible for sexual thoughts - is twice as big as in men than in women, perhaps explaining why men are stereotyped as having sex on the mind.

Or, to put it another way, men have an international airport for dealing with thoughts about sex, "where women have an airfield nearby that lands small and private planes".

Studies have shown that while a man will think about sex every 52 seconds, the subject tends to cross women's minds just once a day,(Mhhhh! I am not sure if this number is accurate, IMO it is more than once a day) the University of California psychiatrist says.

Dr Brizendine, whose book is based on her own clinical work and analyses of more than 1,000 scientific studies, added: "There is no unisex brain.
"Girls arrive already wired as girls, and boys arrive already wired as boys. Their brains are different by the time they're born, and their brains are what drive their impulses, values and their very reality.

"I know it is not politically correct to say this but I've been torn for years between my politics and what science is telling us.
"I believe women actually perceive the world differently from men.
"If women attend to those differences they can make better decisions about how to manage their lives."

Other scientists, however, are sceptical about the effects of testosterone on the brain and say many of the differences between the male and female personality can be explained by social conditioning, with a child's upbringing greatly influencing their character.

Deborah Cameron, an Oxford University linguistics professor with a special interest in language and gender, said the amount we talk is influenced by who we are with and what we are doing.
She added: "If you aggregate a large number of studies you will find there is little difference between the amount men and women talk."
 
Mie kwa maoni yangu sidhani kama ni kwenye ndoa tu bali hata kwenye mahusiano ya kawaida. Wenzetu wana kipaji cha kuongea ukilinganisha na Wanaume. Wanaume wengi hawapendi kuongea. Babu DC usiniulize lini nimefanya research ni maoni yangu binafsi haya ambayo yanaweza kabisa kuwa hayako accurate.

Ahsante sana mkuu BAK,

Sitakuuliza ulikopata data zako...

Ila hata kama wanaongea sana hawa wadau wetu, ni halali kuwakibia na kwenda zetu bar??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
sababu ni nyingi sana zinazowafanya waongee kulingana na walivyo.
'gossip' na 'talking' gland ni kubwa.

Hushangai na wanamme nao 'ngono' gland ni reletively kubwa ukilinganisha na a wanawake.

Note: poleni wale wa bwawa la maini, point 2 kati ya mechi 5?
Kongosho,

Nakubaliana na wewe hapo kwenye blue. Ndiyo maana muziki wa baadhi ya wanaume unakuwa mkubwa kiasi cha wadau wao kuweka mpira kwapani...

Hii inaturudisha kwenye hoja kwamba, biologically mwanamke mmoja hawezi kumtosha mwanamume...kama ambavyo hatuweshi kushinda na wanawake katika maongezi!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume ni kuwa..mwanamke anaongea zaidi kwa hisia...wakati wanaume wanaongea kwa uhalisia...

Kuongea kwa hisia ni sawa na kutoa "open statement"... wakati unapoongea kwa uhalisia ni sawa na "closed statement"

Halafu pia, wanawake wana lips nne....hahahaha!!
 
Nilifikiri ni mimi tu, maana mie naongea kama nimemeza DVD tena collection.

Mkuu chameli,

Kama unalitambua hilo basi wewe umeshapiga hatua kubwa sana. Naamini halitaweza kukusumbua katika kudeal na mwenzi wako!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume ni kuwa..mwanamke anaongea zaidi kwa hisia...wakati wanaume wanaongea kwa uhalisia...

Kuongea kwa hisia ni sawa na kutoa "open statement"... wakati unapoongea kwa uhalisia ni sawa na "closed statement"

Halafu pia, wanawake wana lips nne....hahahaha!!

Mkuu Mundu,

Mbona hujamalizia...umeishia hewani kamanda....Mwaga kila kitu hapa ili watu wasije kukosea kwa ku-speculate!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
.....swahiba Dark City, ....tunausiwa tuishi nao hawa kwa "akili!" ....akili mojawapo ni hiyo ya kustahmilia hizo constant naggings & whingeing, kwani kulalama ndio majaaliwa yao hawa.

....na wala usidhani twaweza jibizana nao hawa viumbe 'wa kike'...utakuwa sawa na kupanda mbegu za bhangi kwa matarajio ya kuvuna mchicha.

" A hot tempered man stirs up dissension, but a patient man calms a querrel"....-proverb 15:18

Katika maneno yao 100, sikiliza 10%, tena yale yanayounga unga sentensi....mengineyo weye tingisha kichwa tu kama unajali saaana....
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana tunatembea tumekaa kimya maana maneno tunaaanza kusikia toka tumeamka mpaka tunalala na mengine hata hayaeleweki yanatokea wapi, yanatupa usugu we acha tu. Dark City hii thread imekuja kwa kuchelewa,lol!
 
Last edited by a moderator:
Watu wazima wawili "wanapozungumza" ni vizuri kupeana nafasi ya kila mtu atie neno japo kwa dakika chache inaposhindikana basi mmoja huona mazungumzo yale yamekuwa ya upande mmoja na hivyo kupoteza maana

Ahsante sana mkuu BAK,

Sitakuuliza ulikopata data zako...

Ila hata kama wanaongea sana hawa wadau wetu, ni halali kuwakibia na kwenda zetu bar??

Babu DC!!
 
Mkuu DC;

Wenyewe wanajua...wasiposema kama kweli zinawasaidia ama ala, nitakuja kuzitaja baadaye...

Huogopi madeni wewe Mundu,

Hili lazima nikudai aisee!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom