Mambo ya Ndani ya Kina dada bhana...

mambo ya haki sawa kwa wote. kwani ugali si hata wanawake wanakula?ama una yako kwa kutamani kutoa msaada?
kwanini hao watu wakiume waliokaribu hawasaidii kumbeba binti wa watu, mi nilidhani kukiwa na kazi inayohitaji nguvu mwenye misuli zaidi ndiye atakaejiitokeza kwanza kusaidia???
 
kwanini hao watu wakiume waliokaribu hawasaidii kumbeba binti wa watu, mi nilidhani kukiwa na kazi inayohitaji nguvu mwenye misuli zaidi ndiye atakaejiitokeza kwanza kusaidia???

hahahaa, labda na wao walikuwa na mtazamo sawa na wa mleta mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom