Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
Nimejfunza jambo, thnxNaomba unielewe kitu kimoja. Mimi huwa naweka threads ambazo naamini kuwa zitawasaidia wana JF kwa namna moja au nyingine na sidhani kama kuna dhambi kujifunza mambo mbali mbali hasa urembo. Inamaana wale wanaume wanaofanya kazi za urembo masaloon ni wanyama? Wale wanaume wanaopita mitaani na kuwafanyia urembo wanawake na kuwapaka rangi kucha ni mijibwa? Amkeni. Mawazo yenu hayo potofu ndiyo yanawarudisha nyuma kimaendeleo kila kukicha. Wewe weka mawazo yako potofu ubaki nyuma kimaendeleo na sisi tunasonga mbele. Kama wewe hujaipenda thread hii ujue haikuhusu na ni bora ukae kimya kuliko kuharibu reputation ya mtu. Wapo wenye shida nayo ambao wataisoma na itawasaidia. Na hii message iwafikie wale wote ambao wanapinga thread zangu.