Mambo ya kuzingatia katika kuchagua pafyum

Naomba unielewe kitu kimoja. Mimi huwa naweka threads ambazo naamini kuwa zitawasaidia wana JF kwa namna moja au nyingine na sidhani kama kuna dhambi kujifunza mambo mbali mbali hasa urembo. Inamaana wale wanaume wanaofanya kazi za urembo masaloon ni wanyama? Wale wanaume wanaopita mitaani na kuwafanyia urembo wanawake na kuwapaka rangi kucha ni mijibwa? Amkeni. Mawazo yenu hayo potofu ndiyo yanawarudisha nyuma kimaendeleo kila kukicha. Wewe weka mawazo yako potofu ubaki nyuma kimaendeleo na sisi tunasonga mbele. Kama wewe hujaipenda thread hii ujue haikuhusu na ni bora ukae kimya kuliko kuharibu reputation ya mtu. Wapo wenye shida nayo ambao wataisoma na itawasaidia. Na hii message iwafikie wale wote ambao wanapinga thread zangu.
Nimejfunza jambo, thnx
 
Dear mzima??

Youngmaster af analalamika kwamba facebook anatongozwa na wanaume..sasa kama huko fb ana post mambo haya watu si watashindwa kutofautisha kati yake na Rio?? umeona avatar yake hayo macho?? ha ha jaman!!

riooooooooooo na mwenzie aly rehemtullah kwikwi...
 
Dear mzima??

Youngmaster af analalamika kwamba facebook anatongozwa na wanaume..sasa kama huko fb ana post mambo haya watu si watashindwa kutofautisha kati yake na Rio?? umeona avatar yake hayo macho?? ha ha jaman!!

Pili macho yangu naomba uniachie mimi mkuu. Hivyo ndivyo Mungu alivyoniumba na ninamshukuru sana kwa jinsi alivyoniumba. You can say whatever u like but no body can me change my appearance. Am Michael and not Michael Jackson and thats the diffenrence.
 
Young Master, hivi bado unakwazika kwa utani wa wana JF?
I was just pulling your legs my friend, relax (I talk for myself)
Binafsi nimefurahia sana mada, na nimejifunza mengi.
 
We kila siku unakuja na post za kike-kike zaidi.
Kesho utaleta ya namna ya kuchagua wanja na lipstick.

Kuna siku nilimuuliza YM kwani yeye ni Boflo? Maana oh mara jinsi ta kutunza uso khaa mwanamme kweli huyu?
 
Young Master, hivi bado unakwazika kwa utani wa wana JF?
I was just pulling your legs my friend, relax (I talk for myself)
Binafsi nimefurahia sana mada, na nimejifunza mengi.

Ooopss!! Sorry kama ulikuwa unatania. Mimi nilidhani yake mambo ya kuniandama bado yapo.
 
YM,
Asante kwa uzi huu, nimefurahishwa nao pefyum zinatakiwa zitofautiane ya ofisini, nyumbani, au chumbani ukiwa mpenzi wako. utakuta mtu yuko ofisini amejiweka na pafyum kali hadi watu wanapiga chafya! unapotoka out kuwa na tofauti na harufu ya mchana (ofisini) hali kadhalika huko chumbani na mpenzio mpe ladha tofauti na ya mchana ili muweze kuburudisha akili na nafsi.
 
We kila siku unakuja na post za kike-kike zaidi.
Kesho utaleta ya namna ya kuchagua wanja na lipstick.

Muwe mna2mia akili siku Nyingine.

1. Ukienda Saloon mnapambwa na Wanaume
2. Mnapakwa rangi na Wanaume
3. Hotelini Mnakula chakula cha Wanaume
4. Viwandani Perfume zinatengenezwa na Wanaume

Sasa iweje leo YM alete Uzi hapo wa kukuelimisha uanze kusema Mambo ya Kike kike
 
YM,
Asante kwa uzi huu, nimefurahishwa nao pefyum zinatakiwa zitofautiane ya ofisini, nyumbani, au chumbani ukiwa mpenzi wako. utakuta mtu yuko ofisini amejiweka na pafyum kali hadi watu wanapiga chafya! unapotoka out kuwa na tofauti na harufu ya mchana (ofisini) hali kadhalika huko chumbani na mpenzio mpe ladha tofauti na ya mchana ili muweze kuburudisha akili na nafsi.

Shukrani sana kwa ushauri wako. I hope message yako imewwafikia walengwa.
 
Muwe mna2mia akili siku Nyingine.

1. Ukienda Saloon mnapambwa na Wanaume
2. Mnapakwa rangi na Wanaume
3. Hotelini Mnakula chakula cha Wanaume
4. Viwandani Perfume zinatengenezwa na Wanaume

Sasa iweje leo YM alete Uzi hapo wa kukuelimisha uanze kusema Mambo ya Kike kike

Msamee mkuu. Amesema alikuwa anatania tu.
 
hata wabunifu wa mavazi na manukato ya wanaume wapo weeeeengi wanaume...
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom