software master
Member
- May 11, 2020
- 9
- 14
Habari za muda huu ndugu zangu!
Baada ya kuona uhitaji wa watu kutaka kufaham kuhusu mobile software bhas kupitia uzi huu ntaenda kuwafahamisha kuhusu mobile software.
Kwanza kabisa ni lazima uwe na vitu vifuatavyo ili uweze kufanya hii kazi.
1.Desktop au Laptop
2.Internet
3.Flashing tools (Drivers, Roms)
4.USB cable
Ukiwa na vifaa tajwa hapo juu unaweza kabisa anza fanya kazi ya kuwa fundi mobile software ila sio rahis sana inabid upate somo litakalo kuwezesha kupata maarifa ya jinsi ya kutumia hizo flashing tools kulingana na aina ya simu unayoifanyia service.
Kwa maswali na maoni kuhusu mobile software karibuni.
Pia tunaweza wasiliana WhatsApp 0718968027 elitesoftware
PART TWO
Ili kuweza kuffanya operation ya kuflash sim ni lazima uweze kutambua ni chipset ya aina gani. Kuhusu maana ya chipset pamoja na mada nzima na maelezo ya chipset nitakuja kuandaa uzi wake maalum kwa leo naomba tutambue baazi ya chipset za sim mbalimbali
1. Qualcom
2. Exynos
3. Mediatek (mt)
4. Kirin
5. Spreadtrum
Na zinginezo mfano iphone wana series ya chipset zao. Hivyo kabla ya kuflash ni lazima ujue sim inatumia chipset ya aina gani ili uweze kutumia tool sahihi japokua tools zinakua zina combine chipset so kwa uwelewa wa maswala ya mobile software unaweza nicheck 0718968027