Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Ukimeza mbegu ya ubuyu utaota mbuyu kichwani pako
Hiyo ilikuwa ni njia mojawapo ya kuangalia kama korodani zako zipo sawa!Watu wengi ikitokea wote wamekaa kimya kwa mpigo basi wanasema "...SHETANI KAPITA."
Pochi za Wadada wa Kimakonde, hazifungi.
Ukiota mwili uko majini basi umekufa wewe.
Usisalimie mtu akiwa kwenye kiunzi cha Mlango........
Ukichukua maji ya baharini, hufiki nayo BARA.
Nimeipenda hii ya kuwekewa NJIA kwenye HINDI. Babu alikuwa akipenda ka mchezo ka kukuita na kukushika sehemu na anavuta ugoro. Hadi leo sielewi uhusiano wa Nyeti za mtoto na kuvuta ugoro. Sijui na mie ningelisema "babu na mie nataka kuvuta" sijui ungelisemaje? Au ningeshushiwa kipigo tu na yakaisha?
Watu wengi ikitokea wote wamekaa kimya kwa mpigo basi wanasema "...SHETANI KAPITA."

Mjusi kafiri anahesabu nywele za binadamu, akikuhesabu akimaliza tu una DIE/kufa
Mtu akikung'ata paka mavi ya kuku meno yake yataoza
ukimwona zeruzeru tema mate ndani ya shati la sivyo na wewe utakuja kuzaa zeruzeru
bibi yako mke wako
mwenye jina la mama au dada yako ni mama au dada yake
hee jamani mbona mie siku danganywa na vitu kaa hivi?
mtoto niliambiwa kuwa yumo tumboni na anakuwa mkubwa kila siku na hospitali unaenda kumtoa kwa mtindo wa kama kwenda haja kubwa
Ukimchungulia mama mkwe unaota kisekenene
- Ukimeza mbegu za machungwa zitaotea kichwani
Sijui hii ilikuwa ni imani au vipi; ilikuwaUkienda kununuja chumvi dukani usiku husemi chumvi "unasema dawa ya mboga au dawa ya jikoni" halafu ukisema chumvi mwenye duka anakwambia haipo!
Wakubwa hawaendi haja kubwa wala hawajambi
Ndio nini hapo kwenye bluu?
Watu wengi ikitokea wote wamekaa kimya kwa mpigo basi wanasema "...SHETANI KAPITA."
Pochi za Wadada wa Kimakonde, hazifungi.
Ukiota mwili uko majini basi umekufa wewe.
Usisalimie mtu akiwa kwenye kiunzi cha Mlango........
Ukichukua maji ya baharini, hufiki nayo BARA.
Nimeipenda hii ya kuwekewa NJIA kwenye HINDI. Babu alikuwa akipenda ka mchezo ka kukuita na kukushika sehemu na anavuta ugoro. Hadi leo sielewi uhusiano wa Nyeti za mtoto na kuvuta ugoro. Sijui na mie ningelisema "babu na mie nataka kuvuta" sijui ungelisemaje? Au ningeshushiwa kipigo tu na yakaisha?
Anayevaa miwani kasoma sana!
ukikojoa chini temea mate
mwiko kufagia usiku
ukiskia bundi analia usiku jua kesho mtapata msiba
ukila miguu ya kuku unakuwa mtembezi
kali zaidi ni ile mtu mwenye kipara amesoma hadi amaliza elimu yote ya duniani hadi nywele zimenyonyoka.