Mambo tuliyodanganywa utotoni

ah ah ah sasa ww ur on ur way to heaven unataka mkeo aje kukaa eda?
Pearl si kupenda kwangu..maana nlilia kwenye sufuria ndo nikaja kuambiwa.
Kuhusu location yangu: i hope ts the sem wit u aisee..nitakumiss nikifika huko nikakukosa!
 
hee jamani mbona mie siku danganywa na vitu kaa hivi?

mtoto niliambiwa kuwa yumo tumboni na anakuwa mkubwa kila siku na hospitali unaenda kumtoa kwa mtindo wa kama kwenda haja kubwa :)

Basi we ni mtoto wa juzi tu.
 
u will neva miss me zea dia
Pearl si kupenda kwangu..maana nlilia kwenye sufuria ndo nikaja kuambiwa.
Kuhusu location yangu: i hope ts the sem wit u aisee..nitakumiss nikifika huko nikakukosa!
 
Hii ya muhindi safi sana. Ingawa lengo nafikri ni kumrahisihia mtoto, lakini ndo hivyo, wakubwa hujisahau, na kama hukumwangalia machoni muda wote, utastukia kamaliza muhindi wote.
 
Mjusi kafiri anahesabu nywele za binadamu, akikuhesabu akimaliza tu una DIE/kufa
 
Mtu akikung'ata paka mavi ya kuku meno yake yataoza
ukimwona zeruzeru tema mate ndani ya shati la sivyo na wewe utakuja kuzaa zeruzeru
bibi yako mke wako
mwenye jina la mama au dada yako ni mama au dada yake
 
1.Ukipigwa na mwiko haoui au kuolewa.

2.Ukiona kimondo kimeangukia upande fulani huko ndiko utakakooa.
 
ukiwa na kijipu cha jicho chekea ****** kitaisha mara moja!!!!
 
hee jamani mbona mie siku danganywa na vitu kaa hivi?

mtoto niliambiwa kuwa yumo tumboni na anakuwa mkubwa kila siku na hospitali unaenda kumtoa kwa mtindo wa kama kwenda haja kubwa :)
on red: ulizaliwa na kukulia wapi wewe?
On blue: inaweza kuwa jibu la swali langu, maana kwa mtu aliyezaliwa kijijini hiyo kwenye blue usingeweza kuisikia mtu mzima akimweleza mtoto hivyo. Imekaa ki-kariakoo kariakoo hivi, tena kariakoo ya juzi na jana si ile ya zamani.
 
ukipita makaburini usiongee wala kugeuka nyuma
ukipewa muhindi unampa mkubwa akutengenezee njia ya kwenda kwenu(ukistuka umebaki mistari miwili tu)

hiyo dadangu alinihadaa sana mbaya zaidi njia alizokuwa ananitengenezea zilikuwa pana ananiambia ili mabasi yapishane vizuri kutahamaki nacheza na kibunzi na mahindi kadhaa yaliyosalia......
 
Wakuu, zote hizo mlizoziandika nami nilikuwa NAAMBIWA (nimeandika hivi kwa sababu hata kama TULIDANGANYWA), lakini mimi naona yalikuwa mafunzo tosha ya tabia! Hivi sasa mimi wanangu natumia njia hizo hizo katika kuwalea, ili waje kuwa na tabia nzuri watakapokuwa wakubwa na kuishi na watu kwenye jamii.
Hebu angalieni hii ya mwanaume kulia chakula kwenye sufuria (au chungu enzi zile)!
 
Sijui hii ilikuwa ni imani au vipi; ilikuwaUkienda kununuja chumvi dukani usiku husemi chumvi "unasema dawa ya mboga au dawa ya jikoni" halafu ukisema chumvi mwenye duka anakwambia haipo!
 
Sijui hii ilikuwa ni imani au vipi; ilikuwaUkienda kununuja chumvi dukani usiku husemi chumvi "unasema dawa ya mboga au dawa ya jikoni" halafu ukisema chumvi mwenye duka anakwambia haipo!

Hii hadi siku hizi ipo! Labda tuifungulie Thread yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom