Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

6. Kuvaa nguo na kujilinganisha na waarabu (ukifanana na muarabu zaidi ndio Mungu anakupenda zaidi)
7. Kubadilisha lugha ya kiswahili ili uonekane mwarabu (mnyaazi mungu)
8. Kudhani Mungu hajui lugha nyingine (nadhani atakuwa anajua kiarabu pekee)
9. Kwenda kutalii uarabuni maana Mungu ndiko aliko
10. Kuabudu kwa kuelekea uarabuni, maana ndipo Mungu alipo.
Hizi ni sifa au disapproval?
 
Mambo yanayo nifurahisha kwa wakristo japo mi ni mpagani

1. Huwa hawakubali kukaa na njaa hata funga yao ya kwaresma mtu anaamua tu kufunga kula chakula kimoja anaweza kuamua kufunga kula makande siku 40 ndo kamaliza hivyo, nikiwa mdogo kuna mwanangu mmoja tulikaribishwa kunywa chai na sambusa kumbe zina nyama jamaa akapasua sambusa akatoa nyama zote alafu akala ganda la nje la sambusa nikamuuliza shida nini akasema yeye kafunga kula nyama
 
Imekataaje Dr?
Ukisoma Quran Kigezo cha kuoa wake wengi ni Uadilifu..

Quran 4:3 (Sura An-nisai aya ya 3)

.....basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi oeni mmoja tu.....

Lakini ukienda Kusoma Mbele zaidi ya Sura hiyo hiyo aya ya 129 Quran inasema..

....Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia (Mkiamua kufanya hivyo). Kwa hivyo msimili (Msilalie upande mmoja)..moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamngu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu.....

Kama utaangalia Aya hiyo inatoa maelezo ya Aya hiyo ya 3 kuwa binadamu wa kufanya Uadilifu ni wachache sana na hata ukijifanya wewe utafanya uadilifu ila huwezi
 
Hakuna Ndoa katika Uislam..Wengi wanajua ni ''Nikah'' but tafsir ya Nikah ni "sexual intercourse'' Kuna Ndoa fupi zinaitwa Muta Allah ameruhusu wewe unakubaliana tu na Mwanamke kiasi cha pesa au mali mnasex hata kwa dakika tano popote pale ila mnaweza endelea hata siku tatu lakini umlipe mwanamke tu... aka Ukahaba and its oks ukiwa Muislam kuwa Pimp same Allah keshaandaa Mabikira 70 peponi na wanaume huko mwendo ni kusex tu with your endless penis.
Stupid religion
 
Sasa hiyo miezi minne si napika na bikini.....hamna eda tena hapo
Hapo unapimwa ujasiri kama kweli mmeshindwa kuendelea na ndoa au mmepata hasira tu..

Watu wanamaliza Eda na wanaschana kabisa..

Mtu anakuona kama Kaka yale hata ukivaa nini, Au anakuona kama mwanaume mwenzie tu..unavaa bikini yako anapita anakusalimia anakuachia hela ya matumizi ya siku, Anasepa na maisha yanaendelea...

Hata ukikaa uchi anapita anakusalimia Na anasepa 😅😅😅
Kuna muda mapenz yanakuwa kama karaha 🤣🤣
 
Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.

1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma

2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia

3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao

4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.

5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
Ina maana unapo Sali wew jinsi unavotoa sadaka ndo jinsi unavo kua maskini?
 
Back
Top Bottom