Magane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 202
- 57
Wanajamii naombeni niwashirikishe katika jambo muhimu nalo ni msaada ni mambo gani muhimu ya kumuasa mwanangu wa ubatizo wakati wa kumpongeza na kutoa nasaha kwa kupokea kipaimara katika kanisa la kristo la kilutheli. Naombeni mnisaidie points za kumwelleza mwanangu wa ubatizo. Karibuni watu wa Mungu katika kupeana mawazo katika jambo hili la kiroho.