Mambo muhimu ya kumuasa mwanangu wa ubatizo

Magane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
202
57
Wanajamii naombeni niwashirikishe katika jambo muhimu nalo ni msaada ni mambo gani muhimu ya kumuasa mwanangu wa ubatizo wakati wa kumpongeza na kutoa nasaha kwa kupokea kipaimara katika kanisa la kristo la kilutheli. Naombeni mnisaidie points za kumwelleza mwanangu wa ubatizo. Karibuni watu wa Mungu katika kupeana mawazo katika jambo hili la kiroho.
 
Mwambie yafuatayo.

1: ashike sana elimu
2: Awaheshimu baba yake na mama yake na wangine wanao mzunguka
3: Achunge sana dunia ina maradhi mengi siku hizi hasa HIV.
4: Upendo kwa ndugu na watu wengine ni muhimu sana.
 
ilifaa zaidi jukwaa la dini.

Kulingana na uelewa wangu ni jukumu kubwa sana kuwa mama au baba wa ubatizo wa mtu.

Unatakiwa kumsaidia kukua kiimani kuanzia siku unapomsimamia hadi mwisho wako.

Kama ujuavyo, nasaha ya siku moja haimjengi mtu, huwa inakuwa kama 'formality' fulani tu, kinachomjenga mtu ni malezi madogo madogo ya kila siku.

Anyway, kwa siku hiyo ningekuwa ni mie ningemwambia kwanza akiri imani ya kanisa, na ningempa usia kushikilia imani aliyoikiri maana ndio 'uti wa mgongo' wa imani yenu.
 
Mwambie yafuatayo.

1: ashike sana elimu
2: Awaheshimu baba yake na mama yake na wangine wanao mzunguka
3: Achunge sana dunia ina maradhi mengi siku hizi hasa HIV.
4: Upendo kwa ndugu na watu wengine ni muhimu sana.

amtumainie Mungu katika kila afanyalo
 
Asanteni kwa mchango wenu wa kiroho Mungu mwenyezi awabariki
 
Umhuahidi kuwa karibu naye daima ktk safari yake ya maisha. Na utimize hilo kwani wengi hawatimizi wajibu wao ipasavyo.
 
Asanteni kwa mchango wenu wa kiroho Mungu mwenyezi awabariki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom