Wanaume wezangu acheni umbea huo ulimi utawaponza

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wana Jf.

Kwa masikitiko makubwa sana kumeibuka wimbi kubwa sana la wanaume wambea siyo kawaida yani akiona kitu au kusikia kitu atahakikisha amesambasa na tena wengine kazi yao ni kufukua makaburi huku wakipiga umbea hovyo vijiweni zaidi ya wanawake , wengine kutwa kucha mtu akipita ni kumchambua na kusema siri za ndoa yao utafikiria sijui kitu gani

Sisi tulizoea wanawake ndiyo wambea huko vibarazani lakini kwa sasa vibaraza vimehamia vijiweni kwa wanaume. Wanaume wanakaa wanapiga umbea siku nzima yani mpaka unajiuliza hawa wanaume wezangu namna gani au nini kimewapata hupati majibu kabisa.

Umbea siyo hulka za kiume, wanaume wambea acheni umbea ulimi utawaponza
 
Wavalishe vijora chief
 
Seen
 
Tena bodaboda ni wambea mwsho
Alafu bodaboda wambea ndio wanapenda sana na wanawake yaan ukiona bodaboda wanawake wanapenda sana kusafiri nae jamaa ni mbea mbea yaan anakaa road mda wote anawachora watu, Mwanamke akaichukua Boda anaanza kumpa umbea huku safari inaendelea hawa jamaa wana tabia za ovyo
 
Kishundu hakiwezi poa 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom