Mambo gani kila unapoyaona/kusikia yanakuchefua roho?

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,504
Kwaupande wangu mambo yanayonichefua roho ni haya yafuatayo.
1. Movie zote zenye maudhui ya mizimu(uchawi)
2. Kusikia majina ya viongozi wasio na tija katika TANZANIA yetu.
3.................
.
.
.
Handsome wa mama nimewasilisha mambo yanayonichefua roho, yapo mengi sana lakini haitakuwa jambo jema kama nitataja mambo yote peke yangu, hebu tujiunge pamoja, twende sasa.
 
kumtongoza demu afu kukuambia subiri jibu lako ntakupa akati anajua kabisa subiri subiri huumiza matumbo..
 
Wanawake wanapojilaumu au kulaumu wanawake wenzao kwa upuuzi hasa infedality za wanaume!
 
nachukia ccm, viongozi na wanachama wake wote, zaid kabisa ni baba riz 1, nape nauye, wassira,anna makinda, w. Lukuvi
 
nakereka na wanaume wanaokojoa vichochoroni au sehemu wasizopaswa!hivi hawa hawakufunzwaga kwao au ni nini??

Na pia mlevi anaponibugudhi..jamani kwa nini starehe zako ziwe kero kwangu??if you cant handle a drunk you then dont drink!wanakera bwana!
 
1.Mtu mzima kuacha uchafu chooni esply nyumba za kupanga. 2. Mtu mmoja kutawala sana mazungumzo ya kawaida. 3. Kudanganywa.
 
1.Mtu mzima kuacha uchafu chooni esply nyumba za kupanga. 2. Mtu mmoja kutawala sana mazungumzo ya kawaida. 3. Kudanganywa.

kwenye hiyo namba 1 uliyoandika, unakuta mtu msomi lakini akienda chooni ni aibu anayoiacha huko, unakuta kajisaidia haja kubwa na kuacha bila kusafisha hasa chuo kikuu cha DODOMA.
 
1.JITU LINAKUJA OFISINI
UNALIPA NAMBA YA OFISI
LINAOMBA YAKO LIKIJIDAI LINATAKA MAZUNMGUMZO YA KIOFISI AF BAADAE LINAANZA UPUPU
2.MTU ANAKUBEEP HOVYO
KISHA UKIPIGA ANAKUULIZA WE NI NANI
AGHRRRRR AMA ANAKWAMBIA ALITAKA KUKUSALIMU.
3.kinadada wasiopenda kujushughulisha kazi kuvizia wanaume wawachune ,unakuta kila siku binti anaduu na mtu mpya hata anapofia hapajui
4. mababa maziiima na mamama mazima kujimix na watoto wadogo eti wanawalea
5.wavaakata K,mateja,mavuta bange!! machoko aghrrrrrr
bila KUISAHA CCM
 
Nayachukia sana habari za kufira na kufirwa hapa jf. Kwani ni laana kubwa sana kwa wanaoshiriki tendo hilo. Kwani sehemu ya haja kubwa si kwa ajili ya tendo la ndoa. Ni hakika naudhika sana na watu hao.
 
Nikifungua jf MMU na kukuta threads za Usodoma zinazidi kutawala kila kukicha.
 
Back
Top Bottom