Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,104
26,070
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!

1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!

2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!

3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!

4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!

5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!

Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
 
Mambo ya mashariki ya kati tuwaachie wenyewe kwanza maana yapo makubwa zaidi Afrika.

Vipi kuhusu Waarabu wa Janjaweed na mauaji ya kimbari (genocide) wanayotekeleza kwa makusudi dhidi ya Waafrika weusi wenzetu, kwenye ardhi yao ya asili kule Darfur?!
 
1700916433922.png
 
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!

1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!

2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!

3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!

4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!

5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!

Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!

Borne-e:

Unapozungukwa na Mataifa almost 22 yamedhamiria kukuangamiza.....na yamejaribu kukuangamiza....si mara moja au mara mbili....ni measures gani utatumia? Unapoamua kutumia Vita kama ndio mojawapo hayo ndio matokeo...!

Mbona huwa hamzungumzi Mfalme wa Jordan, King Hussein aliwauwa Wapelestine wangapi Septembar 1970? Au mnasahau historia.

Kwa nini hamjiulizi kwa nini nchi za Kiarabu hazitaki kabisa kukaribisha Wapelestine katika Nchi zao? Unadhani Egpty ni wapumbavu? Ziko Nchi kama 22 Kiarabu...na kati yao zina utajiri mkubwa mno! Lakini huwa zinajua Kukaribisha Wapelestina ni kufungulia mlango wa matatizo.....Israel inalijua hilo ndio maana ina measures kama hizo!
 
Back
Top Bottom